Paul Makonda umejificha wapi? Unatafutwa na Kampuni ya Udalali ili Mahudhurio yako ya Mahakama ya Kisutu na Kufungwa Jela yaanze

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,548
108,882
Kama kawaida Habari kamili ya Taarifa hii Muhimu utaipata katika Gazeti zuri, bora na lenye Maadili na lisilo na Uwoga, Upendeleo Wala Unafiki la RAIA MWEMA katika Ukurasa wa Pili ( 2 )

Tafadhali Watu wa UHAMIAJI na TISS hebu Wasaidieni hawa Madalali katika Kumsaka na Kumkamata Paul Christian Makonda ( Daudi Albert Bashite ) kwani haonekani na hata Simu zake hazipatikani na Watu wake wa Karibu nao hawajui yuko wapi.

Kama mkimkosa huko kote jaribuni sana Kumsaka kwa Mganga wa Kienyeji yule Hatari wa Kigamboni ( anayetumiwa na Yanga SC kwa sasa ) au Yule Mganga wa Kienyeji ( mwenye Ziwa Moja anayetumiwa mno na Simba SC ) aishiye Pemba Zanzibar na mkimkosa Kote huko nendeni nyuma ya Milima ya Morogoro au Tanga ambako ndiko kuna Waganga Maarufu wanaotumiwa na 85% ya Viongozi na Wanasiasa wa Tanzania mtambahatisha na kama huko Kote mkimkosa mtafuteni tu katika Mochwari kwani yawezekana akawa ameshajjtanguliza kabla ya Kutangulizwa Kisheria kutokana na 'Charges' zake nyingi zinazomkabili na zisizovumilika.

ANGALIZO

Kwa wale 'Visokolokwinyo' ambao Taarifa hii itawakwaza au kuwakera mna Options Mbili tu 1. Kunibloku ( Ignore ) na 2. Mtafute popote pale Sumu ya Panya au Kunguni ili mkorogee katika Chai au Maji mnywe mkapumzike zenu tu mazima Kaburini.
 
Yule bibi yetu wa pemba siku hizi vp mbona makali yameisha? Nasikia kuna mtu mmoja ndani ya Simba alisaliti timu akauza code kwa utopox, kipindi hicho ipo chini ya Manji
 
Atapatikana tu, ila kama ni mjanja hiyo sumu uliyotuandikia hapo juu imhusu tu,

ikifika mahali ukiona huchomoki better kuamua haraka.
 
Le'generaly, legendary Paul Makonda naona ameanza kunyatiwa taratibu taratibu na vijana wa Saigon.... hesabu za wazee wa saigon kali sana kwenye kusukuma kete atajikuta amekula ndoano..
 
Teh teh genta kama genta

Watakuerewaaaa tu wasitake wasitake

Ova
 
Yupo kajichimbia huko Gambosh akila Bata endeleeni kumsaka na ashajenga mjengo na kuchukua urai now ni
Gamboshian citizenship!
 
Ila dada Jeny ana gubu, nakumbuka nilivo korofishana nae 2015 nikiwa namba 46 kwa Mahiga ..huyu kenge ana shombo..eti mm mkata nyasi Lugalo!
 
Wenye pesa zao wametoa 30 M kwa atakayesema alipo Makonda na hili dau litaongezeka mpaka apatikane.

Ndugai naye haonekane bungeni Wala jimboni kwake, spika Hana taarifa zake. Hajaonekana hadharani utadhanu Yuko eda.
 
Back
Top Bottom