Paul Makonda: The 2nd most powerful man in Tanzania(?)

HNIC

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
1,898
2,197
"Happy families are all alike; every unhappy family is unhappy in a different way"
- Anna Karenina (Tolstoy)



Looks like he's taken a leaf off Senator Mac Carthy na zile events za 1950's.
But Makonda has done even better than Mc Carthy by the help of the fourth estate hapa tanzania.

Media gave him too much attention when he first appeared on the political landscape ya Dar (baada ya kutuhumiwa kumpiga Waziri Mkuu Warioba). They lavished something every politician in the world needs and craves: Visibility (hata kama anafanya manyago) and whats even interesting ni kuwa he didn't even have to pay for it. Na hili nail kosa kubwa lililofanyika.

Basically the mistake acquired momentum throughout and now it is late, actually its too late to counter the momentum. Swall la kiujiuliza was every move ya huyu Makonda worth that much attention really? Personally I don't. Take for instance something he said 2 hours ago. It will change 10 hours later. Mfano ni issue ya Ombaomba, kupiga marufuku shisha, na mwisho hii ya Madawa ya kulevya. He's managed to create a conflict between THE EXECUTIVE, LEGISLATIVE & JUDICIARY.

Issue ya Madawa improve kuwa sasa hivi Makonda is more powerful than Vice President AND Prime Minister (combined) kwa sababu anatoa matamko, amri, anavuruga rule of law and civil liberties, wakati huohuo ana mdhalilisha Commander in Chief (kwa kumweka kwenye speaker phone kwenye mikutano ya hadhara), anataka kuwaweka OmbaOmba kwenye concentration camps, ana violate freedom of movement za watu ambao ni innocent (watu waliambiwa ndugu zao wasije Dar kama hawana cha kufanya), All this hakuna anayemwambia kitu na sasa hivi anapigia sim wabunge na kuwatisha in the same manner McCarthy alivyokuwa akifanya in the 50's

Sasa kwa kuwa tushakubali matokeo kuwa hakuna wa kumfanya kitu (kisheria), The Question is, does he have all it takes to be our new Steve Bannon ? Can he go all the way to Magogoni ?

Hypothetically what if Commander in Chief (ambaye kampa Makonda unprecedented support kwenye kila jambo ) aaamue kumpa Ukatibu Mkuu Kiongozi? Kuna wa kumfanya kitu?

Yes, Hear me out...

Kwa zama tulizonazo ( sidhani kama kuna wa Kumzuia kumteua ( which) could be translated kuwa he will have even more powers than he has at the moment.

Tusisahau huyu huyu Makonda (anatuhumiwa) kumpiga former PM Warioba na mwishowe akazawadiwa hiyo kazi...

Kwa mnaombeza naomba sana mkumbuke kuwa tunaishi kwenye the era of extremes and anything is possible.

McCarthy.jpg


Lakini ukweli ni kuwa sitaki kuamini kuwa in the next 6 months hatopewa cheo kikubwa zaidi.

3500.jpg


Steve Bannon


Lakini What is Makonda's game plan?
 
Hii ni inch inayo endeshwa kwa Matamko na Matukio. ni seme tu Makonda amefanya kipi akaweza kukitimiza? leo Gwajima yupo huru, Manji atakuwa huru na wengine wengi watakuwa huru....je Kutaja watu majina bila kuwa hata na Ushahidi wa kutosha ndio njia sahihi ya kupambana na madawa ya kulevya? kwa ulimwengu huu wa sasa? Makonda anafanya kazi na Media na ameweza kufanikiwa kuwanasa wajinga wengi. kwa upande wangu Makonda angepewa Cheo cha Msemaji wa Clup yoyote ya mpira hapa Tanzania
 
Actually, makonda was the power behind the throne until just recently. We can very well compare him with vladimiro montesinos of peru under fujimori's rule.
 
Tuliokulia enzi za Idd Amin, MUSTAFA ADRIS , msaidizi wa karibu na rafiki wa Idd amin, alikuwa katili kuliko Idd Amin. Actually, mtu aliomba apewe adhabu na Amin anaweza akawa na ka huruma kuliko Mustafa Adris!
 
huyu aliyekuwa anapata F zote ,hana uzoefu na kibhani zero,hawezi kuongea hata sentenso moja ya kingereza
 
Naona vijana wameingia kumtetea kama walivyofanya kwa kitwanga

Mara nyingi uonyesha watu maarufu kuliko taasisi Tanzania uwa wanaanguka vibaya sana .........

Nikimkumbuka Sokoine alivyokuwa powerful na alipoishia...........

Nikimkumbuka Salim Amed Salim alivyokuwa powerful..........

Nikimkumbuka Lyatonga Mlema alivyokuwa powerful kipindi ni waziri wa mambo ya ndani.........

Tukaja kwa Lowassa alivyokuwa powerful na kubwagwa kwenye u waziri mkuu.........

Sizani kama Makonda atapona kwenye hili .........

Tanzania system za nchi ziko active sana kuliko mtu mmoja mmoja.......

Muda ndio utaongea tu...........
 
Whoever criticize makonda in whatever way they are Agents of drug dealers, they want to equate the effects of naming the drug dealers to be much greater compared to the devastating damage caused by the drug dealers to our society
 
huyu aliyekuwa anapata F zote ,hana uzoefu na kibhani zero,hawezi kuongea hata sentenso moja ya kingereza
na sasa hivi ndio the second most powerful man in Tanzania, population 55 million AND $45 Billion GDP
 
Kwenye siasa za Tanzania huwezi kubisha kitu kwa vile chochote kinaweza kutokea. Pia kumbukeni kuwa mkuu wetu wa nchi anapenda kufanya kazi comfortably na watu wa kabila lake.

Tangu Makonda atangaze vita dhidi ya madawa ya kulevya, mkuu wa mkoa wa Mwanza Mr Mongella amekamata kiasi kikubwa cha Cocaine kuliko Makonda na mbwembwe zake kwenye Tv. Lakini nani anampongeza Mongella? Kuna wana JF kibao hawajui hata Mongella ni nani ingawa yeye na kamanda wake Ahmed Msangi wamefanya kazi kubwa na kwa gharama ndogo kuliko Makonda na Sirro. To me, Makonda is the second most powerful man kwa sasa
 
Mtoa mada unajifanya mwingerezaaa, Kwa namna ulivyoandika huna tofauti na makonda kichwani. Majivuno unayo.
 
mpenda misifa kwa gharama ya kuwachafulia wengine ni sawa na mchawi tuu hakuna tofaut. kuchamba sana mwishowe utashika mimavi. eti tunajenga nchi ya viwanda...kwa namna hii??!!!..wale wanaopaswa kushirikiana nanyi kujenga viwanda mmewatia ndani bila sbu za msingi nani tajir atawaamini tena kwa unyanyasaji huu mnaofanyia wafanyabiashara. juz juz tuu mlikuwa mshachemsha kwa Bakheresa tukapiga kilele humu mkaona aibu mkatuliza mukari na ikabd mumbembeleze na ikabd hta kumhonga. leo hii mmejisahau tena mnawaweka ndan bila kufikir ni familia ngap zinaish kwa kuajiriwa na wao. hamjifunz tuu? marekan wenyewe wanaheshimu wafanya biashara wao jifunzen ata kwa trump bas. ninyi mnawatia ndan kisa mnajesh? mnawakamata watumish wa mungu na kuwasweka ndan bila hta vivid evidence. afu kesho na keshokutwa mnatembea kwenye nyumba za ibada mnaomba muombewe..!!! hio akili au matope? mungu gan mnanyanyasa watumish wake afu at the same time mnataka msaada wake? ni serekal ya kipagan tu inaweza kufanya mambo aya. mungu akiwapiga kwa ukame na majanga mtakimbilia wap ninyi wababe wa nchi? au mtatuma polis wakamkamate mungu kama mnavowatumia sa hv kukamata ovyo.? mnazan kwa kumhusisha kiongoz wa chama kwenye unga mtakimbiza wanachama wake? thubutuu ndo mnawajengea usugu. mm ni mzalendo mzur wa ccm but nawaambia mabos wangu kuna sababu ya kutubu!
 
Back
Top Bottom