Paul Makonda na Mawazo ya kuua CHADEMA na hofu ya Tundu Lissu

Ahsante kwa taarifa, tutaifanyia kazi.
 
Punguza hofu zisizo na msingi

Tanzania hakuna upinzani kuna watoa taarifa
 
makonda kapata baraka zote za samia kutamka yale aliyotamka.

lawama zote abebeshwe yule mama wa kizimkazi.
 
Amewekwa kwa makusudi hayo tu
Haihitaji mawazo mapana kulijua hili
Watu wa hivyo wanatakiwa na hao wakubwa ili walindwe huku wakijigawia kipande kikubwa zaidi cha 🥮 na nyie mkila makombo, tena kama mtapata
 
Umewaza mbali sana. Hongera kwa kuliona hili.
 
Haujamalizia hakuna upinzani kuna watoa taarifa hizo ndio tambo za siasa bibie na Ndio Maana akachaguliwa yeye hii ndio moja ya sifa yake na namna inavyotakiwa kwenye hiyo nafasi yake
Hakuna mwenye tatizo na hizo Tambo zake maana hiyo ndio siasa, lakini aangalie watu wasipite humo humo akaanza kusema viongozi na ccm wanatukanwa.
 
Samia amebugi big time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…