huyu jamaa anapropaganda,yeye ni katibu wa itikadi na uenezi wa uv-ccm sasa baada aeneze ya kueneza badala yake anasema chadema ni chama cha matukio na yakiisha na chama hakipo tena,anasema ziara walioanzisha watazungumzia op tokomeza,sasa kazi ya chama kinachokuwa upande wa upinzani nini? lazima wakosowe serikali au hajui kwamba ile serikali mbadala?