Paul Makonda ateuliwa kuwa Waziri Mkuu MUCCOBS, Bunge lamkataa

umeongea upuuzi sana. hyenda wewe sio mpuuzi ila ulichokiongea ni cha kipuuz

Najua wengi watatukana kama wewe uliyofanya ila nikuambie tu kuwa mimi nimeisha tukanwa na kubaguliwa zaidi ya hivyo uliyofanya hapo juu.

Japo, kumbuka huu usemi wangu " bora uambiwe ukweli hata kama ni mchungu"

Si vijana wa leo wanasema, hii ni ngumu kumesa aisee"

Utaelewa tu kadili muda unavyoenda maana kuna wengine hawaelewi tit for tat hadi miezi na miaka ipite ndiyo wanaelewa.
Kwa hiyo hata nawe siwezi kukushang'aa kwa ulichofanya na utakachoendelea kufanya baada ya hii comment yangu kwako.

Ila huo ndiyo ukweli. Japo kwa wengi inaonekana kuwa mchungu sana.
 
Jamani, Makonda ni next level kwa kifupi ni zaidi ya baadhi ya wabunge hata mawaziri .ndiyo maana basi hata wanaopiga kelele hata kule bungeni ni wale walioletwa bungeni na sio wenye Bunge nadhani hapo hamtaelewa
Anyway, sema ni sababu tu hawezi waambia ila anayeelewa ninachosema hiki ni huyu jamaa
haa mym

Kama mnaakili ninyi mnaodai vyeti na majina fatilieni comments za huyo jamaa (haa mym) mtaelewa ninachosema hapa.

Ila mkikalia propaganda za media na redio mbao a.k.a redio ugali mtapasuka msamba.

Mfano, hadi kesho mtaona Makonda anazidi kupanda chati na ndipo mtakaposhang'aa sana.

Pia, watu watafikilia kuwa labda pana upendeleo kwa huyo kijana , wala sivyo isipokuwa ni nafasi yake na kwa kifupi hutakaa daima umuone sijui mbunge tena wa chama chochote anahoji tena juu ya huyo kijana kwenda kupelekwa mara kuhojiwa sijui kamati au bugeni au mahakamani haitatokea.

Niwakumbusheni tu, jambo hili moja nadhani sasa mtaelewa vizuri ninachosema juu ya huyu kiijana kuwa ni nani na pia ana elimu gani,

soma.kwa umakini hii aya hapo chini:-

Siku zote tunaona watuhumiwa kukamatwa na polisi, ila Manji alipoondolewa pale central polisi naamini mliona kaunda suti na miwani nyeusi basi hilo ndiyo jibu na kijana yuko vizuri hana shida.

Mnaopiga kelele mtashang'aa siku moja kijana ni waziri au Balozi baada ya miaka fulani hivi ila tunaoelewa hata hatusumbuki.

Bora , mkatafute chakula cha watoto wenu , familia na jamaa zenu na kuachia hii maneno mbofu mbofu.

Kama, hamjaelewa , basi mtakuwa wauza na wala Unga wa nyoka ndiyo wamewatuma na siyo bure aisee.

Nawatakia siku njema, oooh, najua hapo Tz ni usiku sana, haya usiku mwema.
Wewe ni kilazer usiye na mbele wala nyuma nadhani utakuwa mmoja wa wale mateja mliokuwa mnamshangilia siku ya press. Akili yako haina tofauti na huyo Daudi aliyetaga mayai, radhi ya Warioba itamsumbua Mpaka akome.
 
Asante sana Diva Beyonce, kwa ujumbe wako!

Ila kama tukiwa hai, utakumbuka maneno yangu na utaomba msamaha ukiwa peke yako kuwa kuna mtu nilimtusi JF ila alisema ukweli.

Labda, nikupe mfano wa matusi yako kwa kuangalia nchi ya Libya.

Walibya walimtukana sana Col. Gaddafi na kukubali auwawe na Wazungu, leo ukienda Libya kila mlibya mwenye akili timamu anamlilia na anamkumbuka sana Col. Gaddafi kwa yale mema aliyowatendea katika siku za uhai wake, mema ambayo hawatakaa wayapate kamwe hadi kiama ya wafu.

Nawe nikuombe kuwa *weka akiba ya maneno yako na matusi yako*

Keep this in your mind, "time is a good teacher"
 
Mlishawahi kuona mwana CCM anaakili?...mi haya ya daudi hata sishangai kulikuwa na naibu wazir wa elimu..mulongo..huyu ndo fungakazi
 
Huyu dogo ni mtu wa kitengo sasa sishangai kuona anamajina mengi na yote yaweza kuwa ya kwake mradi tu lengo litimie. Suala la kufoji cheti hilo halipo ila anaweza kutumia majina tofauti tofauti kutokana na kazi yake.
Mtu wa kitengo? Ndiyo apewe U DC halafu U RC? Huwa hawapewi kazi za uwazi na pia anaonekana alitayarishwa tangu shule ya msingi maana hata darasa la nne alirudia
 
Wauza UNGA Wanahangaika sn Makonda katia kitumbua mchanga hakiliki kabisa.
Wauza unga wamefurahi kwani Makonda amewasaidia kuwapata taarifa fisheries naanza msako vinginevyo angewastukizia saa hizi wangekuwa wako ndani. Kwa ufupi amewaokoa
 
Hicho kitengo kwa mtindo huu ni mzigo wa taifa ka jambo hili dogo linakuwa issue ndo sensitive matter za kitaifa kama mikataba ya uwekezaji, hakika Watanzania twafaa
Mkuu Diva, watu wa Kitengo kile hawana mpaka wa elimu wala kazi.
Wapo wa viwango tofauti vya elimu kuanzia ngumbaru (EWW) hadi Chuo kikuu PHD.
Wapo wa kada mbalimbali kama Wakulima, wafugaji, wavuvi, wafanya biashara, waalimu,Madaktari, walinzi, wazururaji, malaya, madereva wa aina mbalimbali, wanafunzi wa ngazi yoyote.
Na kwa taarifa yako asilimia kubwa ya wakuu wa Wilaya, Mikoa na Wakurugenzi wao ni watu wa huko.
 
Lakini pamoja na mapungufu yooote jamaa nimemvulia kofia, ana kipaji yani pamoja na ukilaza wake, kila anapokwenda huwa kiongozi. Na kadili siku zinavyokwenda anazidi kupanda ngazi dah! Yaan ingekua mwengine tusingemsikia kabisa. Jamaa anakipiwa big up sana
 
Jamani, Makonda ni next level kwa kifupi ni zaidi ya baadhi ya wabunge hata mawaziri .ndiyo maana basi hata wanaopiga kelele hata kule bungeni ni wale walioletwa bungeni na sio wenye Bunge nadhani hapo hamtaelewa
Anyway, sema ni sababu tu hawezi waambia ila anayeelewa ninachosema hiki ni huyu jamaa
haa mym

Kama mnaakili ninyi mnaodai vyeti na majina fatilieni comments za huyo jamaa (haa mym) mtaelewa ninachosema hapa.

Ila mkikalia propaganda za media na redio mbao a.k.a redio ugali mtapasuka msamba.

Mfano, hadi kesho mtaona Makonda anazidi kupanda chati na ndipo mtakaposhang'aa sana.

Pia, watu watafikilia kuwa labda pana upendeleo kwa huyo kijana , wala sivyo isipokuwa ni nafasi yake na kwa kifupi hutakaa daima umuone sijui mbunge tena wa chama chochote anahoji tena juu ya huyo kijana kwenda kupelekwa mara kuhojiwa sijui kamati au bugeni au mahakamani haitatokea.

Niwakumbusheni tu, jambo hili moja nadhani sasa mtaelewa vizuri ninachosema juu ya huyu kiijana kuwa ni nani na pia ana elimu gani,

soma.kwa umakini hii aya hapo chini:-

Siku zote tunaona watuhumiwa kukamatwa na polisi, ila Manji alipoondolewa pale central polisi naamini mliona kaunda suti na miwani nyeusi basi hilo ndiyo jibu na kijana yuko vizuri hana shida.

Mnaopiga kelele mtashang'aa siku moja kijana ni waziri au Balozi baada ya miaka fulani hivi ila tunaoelewa hata hatusumbuki.

Bora , mkatafute chakula cha watoto wenu , familia na jamaa zenu na kuachia hii maneno mbofu mbofu.

Kama, hamjaelewa , basi mtakuwa wauza na wala Unga wa nyoka ndiyo wamewatuma na siyo bure aisee.

Nawatakia siku njema, oooh, najua hapo Tz ni usiku sana, haya usiku mwema.
acha mbwembwe kijana.makondakta hana ukitengo wowote yule jamaa ni kilaza full stop ...vitengo ni vichwa wala hawapo hivo unavyofikiria wewe usitake kuaminishwa jambo na wewe ukaamini kisa watu wamevaa miwani meusi walikuja kumchukua manji.unajua jinsi mchakato wa kuchukua hao watu unavyopatikana??alichobahatika makonda ni ngekewa ya kupendwa na number 1.sikatai waliokuja kumchukua manji pale kituoni ni vitengo ila walikuja kutokana maagizo ya no 1 na sio ya makondakta.makondakta hana mamlaka ya kuwacontrol vitengo.narudia tenaa makondakta anangekewa na no 1.
 
Back
Top Bottom