Paul Makonda apokea meseji tatu za vitisho

Paul Makonda apokea meseji tatu za vitisho

Pompoo

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
362
Reaction score
41
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Mh. Paul Makonda amepokea meseji tatu za vitisho kutoka namba zisozosajiliwa. Akizungumza na Millard Ayo alisema meseji hizo ni pamoja na

1.Kutishiwa Kutokana na kutetea maslahi ya wasanii.

2.kutishiwa maisha Kutokana Na kusimamia sheria na katiba.. (STK)

3.Kutokana na position yake hawezi kuitaja sms ya tatu alitishiwa juu ya jambo gani

Chanzo Millard Ayo.
 
Namba zisizo sajiliwa. Ama kweli, ukubwa shidaaaa. Kuwa dc tu tayari anatafuta umaarufu. Kwenda omba msamaha kwa babako uliyempiga kofi Ubungo Plaza kule acha kutafuta umaarufu.

Laana haiondolewi na umaarufu. Apeleke malalamiko yake kwa wahusika si Melard Ayo, huyo kamwe hato msaidia
 
Makonda tukimpa thread nyngi ni kiki ya kugombea ubunge nyamagana aache hizo wapo tuliowaamini waadilifu leo wamapambanishwa mabehewa feki na rafiki six ndo kasitisha uingizwaji wa hayo makontena sasa makonda ni nani?
 
Bora yeye katishiwa jee alipoandaa vurugu juu ya Mzee Warioba alitegemea nini?
 
kitisho kingine hiki hapa
10404892_796209947078339_6089059070848531258_n.jpg
 
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Mh. Paul Makonda amepokea meseji tatu za vitisho kutoka namba zisozosajiliwa. Akizungumza na Millard Ayo alisema meseji hizo ni pamoja na

1.Kutishiwa Kutokana na kutetea maslahi ya wasanii.

2.kutishiwa maisha Kutokana Na kusimamia sheria na katiba.. (STK)

3.Kutokana na position yake hawezi kuitaja sms ya tatu alitishiwa juu ya jambo gani

Chanzo Millard Ayo.

Kutafuta kick tu mbona tulishapiga chini habar za makonda
 
hili jamaa hovyo sana....af spend ata kumwona kwe taarif ya habar
 
sifa tu kwani hajui vyombo vya ulinzi na usalama vilipo!?
 
Back
Top Bottom