Pale Sahara hata mishahara taabu. Ni vile Diallo hakuwa na choice. Mwanasheria mwenyewe hata law school hajasoma.Kuna mti
Kuna mtu amenitonya kua kutokana na umahiri wake kwenye sheria, Diallo alishawishika kumuajiri kama mwanasheria wa Sahara media.
Una uhakika bado hajakabidhi?Kila siku tunaambiwa utendaji was serikali ya Magufuli ni moto Mara moja, jee ni sababu zipi za msingi zilizo sababisha RC aliyeondolewa madarakani kwa ukaidi na tamaa ashindwe kukabidhi ofisi kwa mwenzake aliye teuliwa tokea atenguliwe 15/07/2020?..
Lakini kweli kama yale yenye expansion joints.Ya tiles kabisa na madirisha ya aluminium na bati ya msouth na rangi za maana
Magorofa kama 4 ama 5 unapata.
Lakini kweli kama yale yenye expansion joints.
Huenda sanitaiza haikutosha kuisafisha ofisi.Salaam Mkuu,
Sasa Wiki mbili zimeisha baada ya aliyekuwa mkuu wa Mkuu wa Mkoa wa Dar kutenguliwa Cheo chake hicho baada ya yeye kuamua kugombea Ubunge wa Jimbo la Kigamboni ambapo kura zake hazikutosha.
Lakini tangu kipindi hicho hajakabidhi Funguo za Ofisi ya Mkuu wa Mkoa kwa Mteule mpya.
Kabla ya Jumatatu anatakiwa awe amekabidhi ofisi kwa Mhe. Aboubakar Kunenge Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar.
Kesho hakuna kazi. Je, leo atakabidhi Ofisi?
Kuna tetesi zinadai anataka ajiunge ACT-Wazalendo ili akagombee Kigamboni kama CCM hawatampitisha. Kuna Nzi amesema atamuuliza swali hilo siku ya kukabidhi Ofisi. Yajayo yanafurahisha.
Thread
=====
UPDATES; 1324HRS
Zoezi la kukabidhi Ofisi leo limeahirishwa kutokana na sababu zilizo njena uwezo wa Mkuu wa Mkoa Kunenge. Ratiba imebana sana hivyo itapangwa siku nyingine ikiwezezekana Jumatatu.
Una uhakika bado hajakabidhi?
Kumbe sababu imetajwa kwenye screenshot yako apo. au umekimbilia kusoma mstari mmoja tu?
Baada tu ya kura za maoni kule CCM taifa likapatwa na msiba wa hayati Mkapa so Kunenge alikuwa busy na shughuli za msiba.Kila siku tunaambiwa utendaji was serikali ya Magufuli ni moto Mara moja, jee ni sababu zipi za msingi zilizo sababisha RC aliyeondolewa madarakani kwa ukaidi na tamaa ashindwe kukabidhi ofisi kwa mwenzake aliye teuliwa tokea atenguliwe 15/07/2020?
Je, hili haliwezi kuwa kasoro katika utendaji was ofisi za umma? Na hili lingetokea kwenye mikoa mingine mzee angenyamaza kweli?
Dar hainaga kimya kimya!
Bado!Una uhakika bado hajakabidhi?
Le mutuz kasema walizika kondoo akiwa Hai na pia zipo computer zake zenye data zake za Siri na madawa mengi sana, mkuu wa mkoa mpya kaogopa kuingia huko haraka baada ya kutonywa na akina Le mutuzAliomba ruhusa amalizie Kwanza Kufukua ' Hirizi ' zake nyingi alizozichimbia pale Ofisini Kwake kule Nje na ndani katika Makochi na Foronya zake.
Mamlaka ya uteuzi iliamini atashinda kura ya maoni kwa urahisi kuvipa Vikao vya juu urahisi wa kumpitisha ili uamuzi wa Msimamizi kumpa ushindi wa Ubunge usiwe na maswali. Bahati mbaya (nzuri?) hakupita kura ya maoni lakini matumaini bado yapo kwani anaweza akapitishwa na Vikao vya juu kutegemea wajumbe wameamkaje siku za vikao. Yote yakishindikana, amri toka juu anategemea itamrudishia kazi yake maana hakutenguliwa na mbadala wake kutupwa bara kazi hiyohiyo. Vikao vya juu vitakaa karibuni ndo anangoja.Kila siku tunaambiwa utendaji was serikali ya Magufuli ni moto Mara moja, jee ni sababu zipi za msingi zilizo sababisha RC aliyeondolewa madarakani kwa ukaidi na tamaa ashindwe kukabidhi ofisi kwa mwenzake aliye teuliwa tokea atenguliwe 15/07/2020?
Je, hili haliwezi kuwa kasoro katika utendaji was ofisi za umma? Na hili lingetokea kwenye mikoa mingine mzee angenyamaza kweli?
ACT WAZALENDO watakuwa wamelamba dume maana huyo alikuwa naibu rais huko CCM ni zaidi ya Membe.Salaam Mkuu,