Sio kuwa wote tu bali kwa kuwa ndiye aliyempendekeza awe RAS DAR.Huenda anatumia ofisi ya R.A.S ambako alikuwepo kabla hajawa R.C! Makonda anamchukulia poa Kunenge kwa kuwa walikuwa wote hapo Ilala Boma!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kuwa wote tu bali kwa kuwa ndiye aliyempendekeza awe RAS DAR.Huenda anatumia ofisi ya R.A.S ambako alikuwepo kabla hajawa R.C! Makonda anamchukulia poa Kunenge kwa kuwa walikuwa wote hapo Ilala Boma!
Wewe wa wapiNo way guys. Ukiapishwa na Rais tayari umekabidhiwa madaraka. Rais wetu hawezi kufanya kinyume cha utaratibu.
SafiNakumbuka alivyoteuliwa ukuu wa mkoa inasemekana gsm waliikarabati kwa takribani milioni 400
Akifikiria hilo anatamani ameze funguo.