Paul Makonda alitakiwa akabidhi Ofisi leo, zoezi limeahirishwa hadi Jumatatu. Je, Makonda atakanusha kugombea Kigamboni kupitia ACT-Wazalendo?

Kila siku tunaambiwa utendaji was serikali ya Magufuli ni moto Mara moja, jee ni sababu zipi za msingi zilizo sababisha RC aliyeondolewa madarakani kwa ukaidi na tamaa ashindwe kukabidhi ofisi kwa mwenzake aliye teuliwa tokea atenguliwe 15/07/2020?

Je, hili haliwezi kuwa kasoro katika utendaji was ofisi za umma? Na hili lingetokea kwenye mikoa mingine mzee angenyamaza kweli?
 
Kila siku tunaambiwa utendaji was serikali ya Magufuli ni moto Mara moja, jee ni sababu zipi za msingi zilizo sababisha RC aliyeondolewa madarakani kwa ukaidi na tamaa ashindwe kukabidhi ofisi kwa mwenzake aliye teuliwa tokea atenguliwe 15/07/2020?..
Una uhakika bado hajakabidhi?
 
Anataka kutufanyia kama Laurence Masha kipindi kile. Mwamba ilibidi ang'oe hadi vitasa alivyo nunua kwenye ofisi ya mbunge. Makonda nae atakuwa na mpango wa kutoa vyote alivyonunua ofisini
 
Salaam Mkuu,

Sasa Wiki mbili zimeisha baada ya aliyekuwa mkuu wa Mkuu wa Mkoa wa Dar kutenguliwa Cheo chake hicho baada ya yeye kuamua kugombea Ubunge wa Jimbo la Kigamboni ambapo kura zake hazikutosha.

Lakini tangu kipindi hicho hajakabidhi Funguo za Ofisi ya Mkuu wa Mkoa kwa Mteule mpya.

Kabla ya Jumatatu anatakiwa awe amekabidhi ofisi kwa Mhe. Aboubakar Kunenge Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar.

Kesho hakuna kazi. Je, leo atakabidhi Ofisi?

Kuna tetesi zinadai anataka ajiunge ACT-Wazalendo ili akagombee Kigamboni kama CCM hawatampitisha. Kuna Nzi amesema atamuuliza swali hilo siku ya kukabidhi Ofisi. Yajayo yanafurahisha.

Thread

=====

UPDATES; 1324HRS

Zoezi la kukabidhi Ofisi leo limeahirishwa kutokana na sababu zilizo njena uwezo wa Mkuu wa Mkoa Kunenge. Ratiba imebana sana hivyo itapangwa siku nyingine ikiwezezekana Jumatatu.
Huenda sanitaiza haikutosha kuisafisha ofisi.
 
Kila siku tunaambiwa utendaji was serikali ya Magufuli ni moto Mara moja, jee ni sababu zipi za msingi zilizo sababisha RC aliyeondolewa madarakani kwa ukaidi na tamaa ashindwe kukabidhi ofisi kwa mwenzake aliye teuliwa tokea atenguliwe 15/07/2020?

Je, hili haliwezi kuwa kasoro katika utendaji was ofisi za umma? Na hili lingetokea kwenye mikoa mingine mzee angenyamaza kweli?
Baada tu ya kura za maoni kule CCM taifa likapatwa na msiba wa hayati Mkapa so Kunenge alikuwa busy na shughuli za msiba.

Jumatatu panapo uzima zoezi litakamilika bwashee!
 
Mkuu wa Mkoa mpya mheshimiwa Kunenge alikuwa bize na maandalizi ya nane nane
 
Aliomba ruhusa amalizie Kwanza Kufukua ' Hirizi ' zake nyingi alizozichimbia pale Ofisini Kwake kule Nje na ndani katika Makochi na Foronya zake.
Le mutuz kasema walizika kondoo akiwa Hai na pia zipo computer zake zenye data zake za Siri na madawa mengi sana, mkuu wa mkoa mpya kaogopa kuingia huko haraka baada ya kutonywa na akina Le mutuz
 
Kila siku tunaambiwa utendaji was serikali ya Magufuli ni moto Mara moja, jee ni sababu zipi za msingi zilizo sababisha RC aliyeondolewa madarakani kwa ukaidi na tamaa ashindwe kukabidhi ofisi kwa mwenzake aliye teuliwa tokea atenguliwe 15/07/2020?

Je, hili haliwezi kuwa kasoro katika utendaji was ofisi za umma? Na hili lingetokea kwenye mikoa mingine mzee angenyamaza kweli?
Mamlaka ya uteuzi iliamini atashinda kura ya maoni kwa urahisi kuvipa Vikao vya juu urahisi wa kumpitisha ili uamuzi wa Msimamizi kumpa ushindi wa Ubunge usiwe na maswali. Bahati mbaya (nzuri?) hakupita kura ya maoni lakini matumaini bado yapo kwani anaweza akapitishwa na Vikao vya juu kutegemea wajumbe wameamkaje siku za vikao. Yote yakishindikana, amri toka juu anategemea itamrudishia kazi yake maana hakutenguliwa na mbadala wake kutupwa bara kazi hiyohiyo. Vikao vya juu vitakaa karibuni ndo anangoja.
 
Salaam Mkuu,

Sasa Wiki mbili zimeisha baada ya aliyekuwa mkuu wa Mkuu wa Mkoa wa Dar kutenguliwa Cheo chake hicho baada ya yeye kuamua kugombea Ubunge wa Jimbo la Kigamboni ambapo kura zake hazikutosha.

Lakini tangu kipindi hicho hajakabidhi Funguo za Ofisi ya Mkuu wa Mkoa kwa Mteule mpya.

Kabla ya Jumatatu anatakiwa awe amekabidhi ofisi kwa Mhe. Aboubakar Kunenge Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar.

Kesho hakuna kazi. Je, leo atakabidhi Ofisi?

Kuna tetesi zinadai anataka ajiunge ACT-Wazalendo ili akagombee Kigamboni kama CCM hawatampitisha. Kuna Nzi amesema atamuuliza swali hilo siku ya kukabidhi Ofisi. Yajayo yanafurahisha.

Thread

=====

UPDATES; 1324HRS

Zoezi la kukabidhi Ofisi leo limeahirishwa kutokana na sababu zilizo njena uwezo wa Mkuu wa Mkoa Kunenge. Ratiba imebana sana hivyo itapangwa siku nyingine ikiwezezekana Jumatatu.
ACT WAZALENDO watakuwa wamelamba dume maana huyo alikuwa naibu rais huko CCM ni zaidi ya Membe.
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom