Paul Makonda aibuka kidedea, Chadema hoi

Akiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi.

Ugaidi, Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa, rushwa na upigwaji risasi wa Tundu Lissu.

CHADEMA waliuaminisha Umma kuwa Makonda atakuja shtakiwa kwa makosa yake lukuki kwa namna ambavyo waliyatanabaisha. Nmesubiria kusikia hata kesi moja dhidi ya Makonda kuhusiana na Shutma hizo. Mpaka leo kimya.

Hii inaonesha Makonda alichukiwa na kuonewa sana na Chadema. Huyu jamaa ndo alikuwa punching bag ya Chadema. Baada ya kutokuwa Mkuu wa Mkoa imeonekana kumbe hakuwa a makosa yoyote yale. Issue ilikuwa ni Ukuu wa Mkoa.

Natoa wito Chadema kumwomba Radhi Makonda Paul na kuahidi kuwa hawatarudia tena tabia hizo za kuchafua watu.
Acha unaa wewe kisiki cha maendeleo.
CHADEMA walimtuma Clouds?
 
Kila kitu Chadema

Naona makonda umetoa uzi leo kuona kama kutakuwepo na comments za kumhurumia kupima upepo kama bado wananchi hawamchukii...Nigga you are scum of the earth!

So funny

Chadema ndio walimfukuza kazi na kumnyang'anya kila kitu?

This is so strange
 
Akiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi.

Ugaidi, Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa, rushwa na upigwaji risasi wa Tundu Lissu.

CHADEMA waliuaminisha Umma kuwa Makonda atakuja shtakiwa kwa makosa yake lukuki kwa namna ambavyo waliyatanabaisha. Nmesubiria kusikia hata kesi moja dhidi ya Makonda kuhusiana na Shutma hizo. Mpaka leo kimya.

Hii inaonesha Makonda alichukiwa na kuonewa sana na Chadema. Huyu jamaa ndo alikuwa punching bag ya Chadema. Baada ya kutokuwa Mkuu wa Mkoa imeonekana kumbe hakuwa a makosa yoyote yale. Issue ilikuwa ni Ukuu wa Mkoa.

Natoa wito Chadema kumwomba Radhi Makonda Paul na kuahidi kuwa hawatarudia tena tabia hizo za kuchafua watu.
Ukute na wewe eti una degree na una GPA ya maana tu tena kutoka chuo cha Maana kabisa. Binafsi naona wahadhiri wetu vyuo vikuu waliopo sasa ndio uwezo wao mdogo. Nina uhakika hata research paper yako uliandika hivi na UKATOBOA KWA KISHINDO
 
Akiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi.

Ugaidi, Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa, rushwa na upigwaji risasi wa Tundu Lissu.

CHADEMA waliuaminisha Umma kuwa Makonda atakuja shtakiwa kwa makosa yake lukuki kwa namna ambavyo waliyatanabaisha. Nmesubiria kusikia hata kesi moja dhidi ya Makonda kuhusiana na Shutma hizo. Mpaka leo kimya.

Hii inaonesha Makonda alichukiwa na kuonewa sana na Chadema. Huyu jamaa ndo alikuwa punching bag ya Chadema. Baada ya kutokuwa Mkuu wa Mkoa imeonekana kumbe hakuwa a makosa yoyote yale. Issue ilikuwa ni Ukuu wa Mkoa.

Natoa wito Chadema kumwomba Radhi Makonda Paul na kuahidi kuwa hawatarudia tena tabia hizo za kuchafua watu.
Sijaelewa lolote aloe elewa msaada tafadhalini
 
Ila wee mkolomije 🤣🤣🤣
IMG_20220707_073408.jpg
 
Haya sawa kwa niaba ya CDM makonda tusamehe
 
Shetani Makonda anapingwa na CCM wenzie hata yeye mwenyewe kupitia post yake ya Instagram hakulaumu CHADEMA. Aliwalalamikia makada wenzie. Pia CHADEMA ilifikia sehemu kwenye utawala uliopita ilibidi wakae tu kimya na hawakuwahi kupambana na huyo dhalimu Makonda. Hata kama CHADEMA ni chama cha hovyo hakuna haja ya kuwasingizia uongo. Shetani Makonda abebe tu dhambi zake.
 
Akiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi.

Ugaidi, Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa, rushwa na upigwaji risasi wa Tundu Lissu.

CHADEMA waliuaminisha Umma kuwa Makonda atakuja shtakiwa kwa makosa yake lukuki kwa namna ambavyo waliyatanabaisha. Nmesubiria kusikia hata kesi moja dhidi ya Makonda kuhusiana na Shutma hizo. Mpaka leo kimya.

Hii inaonesha Makonda alichukiwa na kuonewa sana na Chadema. Huyu jamaa ndo alikuwa punching bag ya Chadema. Baada ya kutokuwa Mkuu wa Mkoa imeonekana kumbe hakuwa a makosa yoyote yale. Issue ilikuwa ni Ukuu wa Mkoa.

Natoa wito Chadema kumwomba Radhi Makonda Paul na kuahidi kuwa hawatarudia tena tabia hizo za kuchafua watu.
Nina uhakika umeandika haya ukiwa uchi
 
Ninesoma comment karibia zote,sijaona aliyekuunga mkono
Na Mimi nakazia kwa kukuambia kuwa umeandika utumbo
 
Back
Top Bottom