Solomon Kambarangwe
Member
- Feb 7, 2015
- 85
- 38
Makonda huyu ni chizi kabisa
Kwa sababu mimi jasiri, siogopi pesa ya mtu, namuogopa Mungu.Shikamoo Mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama Wilaya ya KINONDONI.
Eti mwenyekiti kwanini unatumika?
jamaa ana ulimi mzito kama kameza chura vile,huo ujasiri wa kuongea mbovu kwa lowassa sijui ana utoa wapi?
Kama DAUDI na GOLIATI, lazima LOWASSA atakaa tu kwa dogo, ufisadi wake utamtokea puani.Ni kama mtu angetumwa na Francis Cheka kwenda kumchokoza Mike Tyson akidhani kwamba hana nguvu tena za kurusha makonde !!!
Makonda akili ndogo sana. huwezi kuwa na busara umpoge mzee Warioba na kuongea upuuzi kwenye vyombo vya habari akituhumu Lowasa na wana ccm wenzake.
mimi namwona hafai hata kuongoza darasa. anafaa kuuza pombe vilabuni tu.
Here we go....Tanzania ya leo inataka watu kama akina MAKONDA, MWIGULLU na MUHONGO. haogopwi mtu na pesa zake anaogopwa Mungu tu, safi sana Makonda
Kwa sababu mimi jasiri, siogopi pesa ya mtu, namuogopa Mungu.
Makonda huyu ni chizi kabisa
Acha watajirike , ni kipindi cha mavuno lakini kwani lazima iwe kwa kuwachafua wengine?kunamwandishi mmoja wa gazeti la tanzania daima pamoja na mhariri wake wote wanatumika na Lowasa wengine wapo gazeti la nipashe na mwanachi jamaa wanalipwa kwa kumpigia debe Lowasa.
Ndiyo maana kumbe kapewa ukuu wa wilaya,kumbe sababu ni hii!!!!!!!
Makonda akili ndogo sana. huwezi kuwa na busara umpoge mzee Warioba na kuongea upuuzi kwenye vyombo vya habari akituhumu Lowasa na wana ccm wenzake.
mimi namwona hafai hata kuongoza darasa. anafaa kuuza pombe vilabuni tu.
Eti ndie Mkuu Wa wilaya anayefunga mtoto wa mfalme kamba za viatu..
Mzee Mwanakijiji hukuyafanya haya yote na ndo maana umekosa u DCEti ndie Mkuu Wa wilaya anayefunga mtoto wa mfalme kamba za viatu..