Paul Kagame is urging Africa leaders to ignore IMF warning and go ahead to implement Africa free trade agreement

Madini tu viwanda vyao vinategemea Afrika .Tukiamia kuuziana viwanda vyao kule lazima viangue kilio au vilazimike Kuhamia nchi yeyote ya Afrika watake wasistake.Japani haina madini ya chuma.Kampuni zao hazina madini mfano yanayotumika kutengeneza simu za mkononi ya Cobalt yanapatikana Afrika tu.Tukiamua kuuziana watakosa making ghafi za viwanda vyao viwe vya nguo vinavyotehemea pamba nk.Hiki wazo.la Kagame laweza fanya wenye viwanda ulaya kuhamishia manufacturing base Afrika hivyo ki create employment, exports kuongezeka za kupeleka Ulaya na Marekani nk Africa tumeshiiklia raw materials za viwanda vyao
Mbona hukuja kwenye ile thread yangu mkuu?
 
Hahaha unajidanganta sana, kabla wazungu hawaja colonize afrika walikuwa tayari wanaviwanda kwao, chuma walikuwa nacho hadi kutengeneza vifaru, na malighafi wanazo, tatizo lenu mnadhani ulaya hakuna aridhi, sheria zao kimazingira ni ngumu na,wanathamini ardhi yao ndio maana wanakuja kufukua huku hovyohovyo, nyie hamna cha kuuziana zaidi ya chakula, nacho mkiachwa bila bulgur zao mtakufa wote. Tanzania licha ya maziwa yote na bahari bado tunaagiza samaki nje. Nyavu mnaagiza nje hahaha. Acheni kujazana upepo, afrika hakuna technologia yoyote hata kuiga mmeshindwa, huyo kagame anazalisha nini na anamuuzia nani?! Yeye anaongoza kwa misaada akikutana na nyie anawajaza upepo,
Are you sure on what you’re saying? Please acha uongo.
 
In May this year (2019), the International Monetary Fund (IMF) warned that African countries could face revenue shortfalls if the continent starts the implementation of the African Continental Free Trade Agreement (CFTA) as planned.

The IMF maintained that, although the agreement will boost trade on the continent, it will negatively affect earnings and employment opportunities in some sectors of the member countries’ economy.

In a quick rebuttal, President Paul Kagame has urged his colleague African leaders to stay focus in the implementation of the policy since that will be in the positive interest of the African continent and the African people.

“It is important that Africa gives the necessary considerations to the views and opinions by external entities and ‘development partners’, it is also more important at the same time that Africa become aware of what we want for ourselves, pursue what is good for the continent, and defend what is necessary for our collective development.” He noted that a lot of considerations went into the African Continental Free Trade Agreement before it was agreed upon by member state.

Mr Kagame made these expressions on Friday at a tri-partite meeting attended by himself, President João Lourenço of Angola, and their DR Congo counterpart and host Felix-Antoine Tshisekedi on the side-lines of his father’s national mourning ceremony in DR Congo capital Kinshasa.

Mbona waliinyamazia NAFTA(North American Free Trade Agreement)?Hawa jamaa ni waku-ignore kama anavyosema Kagame.Waliona NAFTA ina faida kwao ndio maana hawakuipigia kelele.Sasa kwa kuwa AFTA haina direct benefits kwao,makeleele.
Manyan'gau tu haya.Yapuuzwe.
 
Huyu Kagame ni kama parasite, anataka kunyonya wenzake. Hii nchi haina inachoproduce.

Wao wao ni kuimport kutoka kwa majirani zake. Nchi itakayofaidi sana hii free trade ni Rwanda na Rurundi coz hawana kitu chao.
 
Kwahiyo kwenye agenda pana kama hizi hatutegemei kuitana wapinzani. Maana sio suala la chama dola. Ni bara zima la Africa
Tatizo anayeanzisha hiyo agenda!
Yeye mwenyewe sio mfano wa kuigwa na nchi yake haijajaribu hicho anachosema hata 1%
 
Hahaha mna vituko sana, mnauziana nini waafrika, mihogo na mahindi?! Nenda kaangalie mizigo inayoingia kutoka ulaya na asia ulinganishe na mnayosafirisha kwenda huko. Muwe giant kiuchumi kwa lipi?! Unadhani zaidi ya madini ni nini mnacho kuwafanya wakuogopeni?! Hata madini wanayo sema hawataki kuharibu mazingira yao kama sisi, kila kitu wamekigundua huko kwao kabla hawajaja kukitafuta afrika. Nyie hadi toy za watoto mnnanunua kwao, halafu unasema muwe giant kiuchumi, how?! Nguo mnaagiza kwao, simu, gari na vyote unavyofikiria, wawekezaji wakubwa wote wa kutoka huko faida inaenda huko, mnakuwaje giant kiuchumi hadi waogope?!
Kwa hiyo unashauri nini kifanyike.maana naona umezUngumzia kukandia tu
 
Back
Top Bottom