Paul Kagame is urging Africa leaders to ignore IMF warning and go ahead to implement Africa free trade agreement

yamindinda

JF-Expert Member
Jul 29, 2011
1,581
1,318
In May this year (2019), the International Monetary Fund (IMF) warned that African countries could face revenue shortfalls if the continent starts the implementation of the African Continental Free Trade Agreement (CFTA) as planned.

The IMF maintained that, although the agreement will boost trade on the continent, it will negatively affect earnings and employment opportunities in some sectors of the member countries’ economy.

In a quick rebuttal, President Paul Kagame has urged his colleague African leaders to stay focus in the implementation of the policy since that will be in the positive interest of the African continent and the African people.

“It is important that Africa gives the necessary considerations to the views and opinions by external entities and ‘development partners’, it is also more important at the same time that Africa become aware of what we want for ourselves, pursue what is good for the continent, and defend what is necessary for our collective development.” He noted that a lot of considerations went into the African Continental Free Trade Agreement before it was agreed upon by member state.

Mr Kagame made these expressions on Friday at a tri-partite meeting attended by himself, President João Lourenço of Angola, and their DR Congo counterpart and host Felix-Antoine Tshisekedi on the side-lines of his father’s national mourning ceremony in DR Congo capital Kinshasa.

 
Yuko sahihi kabisa.Tununue vyetu vya ndani ya Africa vinavyokosekana ndio tuagize nje ya Africa.Hofu ya IMF itakuwa kujua kuwa uagizaji bidhaa wa Africa nje ya Africa utapungua hivyo kusababisha viwanda vingi vya ulaya na Marekani kupata mtikisiko mkubwa!!!

Hata kufungwa.Lugha waliyotumia IMF Ni ya porojo yenye agenda iliyojificha ya kutetea viwanda vya ulaya na Marekani.

Kagame Yuko sahihi kabisa.Anatetea viwanda vya Afrika na bidhaa zinazozalishwa Africa kuwa tutumie bidhaa za afrka
 
Viongozi wa Africa bado wengi viazi...!! IMF hao bado wanawahurumia!!! Hivi wakiwaacha kama mlivyo, huko ulaya hawawezi ishi? Kila kukicha tuko kwao tunaomba misaada, mikopo etc! Basi, toeni sharubu mdanganyweni na kina kagame!
 
Unamsifu Kagame wakati nchi yako Tanzania imeukataa huo mpango?
 
IMF wanatuburuza wanavyotaka. Mbona wamarekani na watu wa Ulaya wana hizo trade blocks?
Jamaa hawa hawataki tuzinduke kwenye huu usingizi tuliolala
Trade agreement za nchi za kiafrika inawatisha sababu wanajua kutaibuka nchi super power kiuchumi Africa mfano south Africa ni highly industrialized itakuwa Giant kiuchumi na viwanda vingi vilivyoko Afrika vitakuwa big industries overnight kwa kuwa na big market hivyo kupora market share Africa ya viwanda vya ulaya na Marekani wanakoishi IMF na shangazi Yake World Bank
 
Taarifa sahihi zinaonyesha kwamba Bajeti ya Rwanda ya kila mwaka inagharamiwa na mabeberu kwa zaidi ya 80%

Mytake : Kagame anawachuuza wengine
Hachuuzi kwa hili Yuko sahihi kuna kitu kinamuuma kuwa ingekuwa kuna trade agreement kwa nchi za Africa bidhaa za rwanda zingeuzika bara Zima la Afrika.
 
Wana madini mengi tu
Shirika la ndege, ndizi,chai ,kahawa,pilipili nk mfano pilipili yao iko supermarket kibao ulaya na Marekani
sasa kama zao kuu ni pilipili unadhani kwenu chamwino ambako kuna pilipili kichaa kibao atapata soko ? kwanini asiendelee kukomaa na wazungu tu ?
 
Trade agreement za nchi za kiafrika inawatisha sababu wanajua kutaibuka nchi super power kiuchumi Africa mfano south Africa ni highly industrialized itakuwa Giant kiuchumi na viwanda vingi vilivyoko Afrika vitakuwa big industries overnight kwa kuwa na big makert hivyo kupora makert share ya viwanda vya ulaya na Marekani wanakoishi IMF na shangazi Yake World Bank
Hahaha mna vituko sana, mnauziana nini waafrika, mihogo na mahindi?! Nenda kaangalie mizigo inayoingia kutoka ulaya na asia ulinganishe na mnayosafirisha kwenda huko. Muwe giant kiuchumi kwa lipi?! Unadhani zaidi ya madini ni nini mnacho kuwafanya wakuogopeni?! Hata madini wanayo sema hawataki kuharibu mazingira yao kama sisi, kila kitu wamekigundua huko kwao kabla hawajaja kukitafuta afrika. Nyie hadi toy za watoto mnnanunua kwao, halafu unasema muwe giant kiuchumi, how?! Nguo mnaagiza kwao, simu, gari na vyote unavyofikiria, wawekezaji wakubwa wote wa kutoka huko faida inaenda huko, mnakuwaje giant kiuchumi hadi waogope?!
 
Hahaha mna vituko sana, mnauziana nini waafrika, mihogo na mahindi?! Nenda kaangalie mizigo inayoingia kutoka ulaya na asia ulinganishe na mnayosafirisha kwenda huko. Muwe giant kiuchumi kwa lipi?! Unadhani zaidi ya madini ni nini mnacho kuwafanya wakuogopeni?! Hata madini wanayo sema hawataki kuharibu mazingira yao kama sisi, kila kitu wamekigundua huko kwao kabla hawajaja kukitafuta afrika. Nyie hadi toy as watoto mnaahiza kwao, halafu unasema muwe giant kiuchumi how?! Nguo mnaagiza kwao, simu, gari navyote unavyofikiria, wawekezaji wakubwa wote wa kutoka huko fauda inaenda huko, mnakuwaje giant kiuchumi hadi waogope?!
Madini tu viwanda vyao vinategemea Afrika .Tukiamia kuuziana viwanda vyao kule lazima viangue kilio au vilazimike Kuhamia nchi yeyote ya Afrika watake wasistake.Japani haina madini ya chuma.Kampuni zao hazina madini mfano yanayotumika kutengeneza simu za mkononi ya Cobalt yanapatikana Afrika tu.Tukiamua kuuziana watakosa mali ghafi za viwanda vyao viwe vya nguo vinavyotehemea pamba nk.Hiki wazo.la Kagame laweza fanya wenye viwanda ulaya kuhamishia manufacturing base Afrika hivyo ki create employment, exports kuongezeka za kupeleka Ulaya na Marekani nk Africa tumeshiiklia raw materials za viwanda vyao
 
The IMF maintained that, although the agreement will boost trade on the continent, it will negatively affect earnings and employment opportunities in some sectors of the member countries’ economy.

Sikusoma popote IMF waliposema AfCTA haifai.

Kama kuna ubishi na waliyosema basi sentensi mhimu ya kuijibu ni hiyo hapo juu. Je, ni kweli au sio kweli baadhi ya nchi zinaweza kuathirika kutokana na ushirikiano huo wa kibiashara.

Watu wanakimbilia kujadili ambayo IMF haijasema kwa sababu kwao kila kitu cha IMF ni cha "Mabeberu", hicho ndio kipimo cha 'uroboti' tuliofikia!
 
Back
Top Bottom