Patrobass Katambi: Ukweli utaniweka huru daima

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,618
Reaction score
9,607
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), Mjumbe wa kamati Kuu, Mjumbe kamati ya Maadili Taifa, Patrobass Katambi amesema ukweli utamuweka huru daima,hekima na busara zake ndio zilimlazimisha kuondoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) na kuhamia Chama cha Mapinduzi (CCM).

Patrobass akiongea na Bongo5 leo amesema kuwa amekihama chama hicho bila kufafanua yaliyomtoa katika chama hicho ili kuacha haiba yao na waendelee na mfumo wao wa siasa mpya.

Sio kwamba sijawajibu, nimewajibuni kwamba asante kwa maswali yote 8 ila hekima na busara zangu zilinilazimisha kuondoka chadema na kuhamia CCM bila kufafanua yaliyonitoa ili kuacha haiba yao waendelee kwa Amani na mfumo wao wa Siasa mpya.

Ila kwakuwa CHADEMA wamenishambulia kwa UONGO kupitia Viongozi wao Wakuu niliowaheshimu sana, sasa nawapa “reasonable time” Wawathibitishie Watanzania kwa ushahidi in Public.
Ikiwa waliyonituhumu si ya kweli au wakakaa kimya bila kukanusha;

Nitalazimika kuwajibu na kutoa sasa sababu za kuhama kwangu Chadema kupitia ‘Press Conference’ nanyi mtaarikwa.

Acha tuwe wanachama wa kawaida CCM chama cha wanachama kinachoruhusu tushauri,tuwakosoe kwa staha viongozi na kuthamini vijana sio kuua vipaji vyao, kuwaburuza na kuwafanya watumwa katika Ufalme wa Misri ya Farao, kuwasaidia kujenga nchi na kudumisha Amani sio ulaghai, porojo na usanii kama huu wa kutuhumu na kuchafua kila anaeondoka Chadema kwa kutunga kashfa ili kumdharirisha mtu na utu wake bila ushahidi. Huku ni kutoheshimu haki ya kikatiba ya kuingia na Kutoka katika chama.

UKWELI UTANIWEKA HURU DAIMA na nipo tayari kulipa gharama zake hata iwe kifo kwa maslahi ya Taifa na Watuwake” Mungu ibariki Tanzania.

Patrobass Katambi
Mwanachama wa CCM.
 
Kwa hiyo Mwenyekiti wako Mpya na NEC yake uliwadanganya siyo?
Kwa kule walikuwafanya kuwa Karai hali wewe wa taka kuwa Simenti na Winchi!
 
Katambi unapofanya jambo kwa ajili ya kuahidiwa bakshishi huwa ni ngumu sana kumueleza mtu sababu zilizokufanya ubadili wazo lako. Ni wazi kama ulikuwa na kesi zitafutwa na kacheo utapata, vyuma vitaachia.
 
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), Mjumbe wa kamati Kuu, Mjumbe kamati ya Maadili Taifa, Patrobass Katambi amesema ukweli utamuweka huru daima,hekima na busara zake ndio zilimlazimisha kuondoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) na kuhamia Chama cha Mapinduzi (CCM).

Patrobass akiongea na Bongo5 leo amesema kuwa amekihama chama hicho bila kufafanua yaliyomtoa katika chama hicho ili kuacha haiba yao na waendelee na mfumo wao wa siasa mpya.

Sio kwamba sijawajibu, nimewajibuni kwamba asante kwa maswali yote 8 ila hekima na busara zangu zilinilazimisha kuondoka chadema na kuhamia CCM bila kufafanua yaliyonitoa ili kuacha haiba yao waendelee kwa Amani na mfumo wao wa Siasa mpya.

Ila kwakuwa CHADEMA wamenishambulia kwa UONGO kupitia Viongozi wao Wakuu niliowaheshimu sana, sasa nawapa “reasonable time” Wawathibitishie Watanzania kwa ushahidi in Public.
Ikiwa waliyonituhumu si ya kweli au wakakaa kimya bila kukanusha;

Nitalazimika kuwajibu na kutoa sasa sababu za kuhama kwangu Chadema kupitia ‘Press Conference’ nanyi mtaarikwa.

Acha tuwe wanachama wa kawaida CCM chama cha wanachama kinachoruhusu tushauri,tuwakosoe kwa staha viongozi na kuthamini vijana sio kuua vipaji vyao, kuwaburuza na kuwafanya watumwa katika Ufalme wa Misri ya Farao, kuwasaidia kujenga nchi na kudumisha Amani sio ulaghai, porojo na usanii kama huu wa kutuhumu na kuchafua kila anaeondoka Chadema kwa kutunga kashfa ili kumdharirisha mtu na utu wake bila ushahidi. Huku ni kutoheshimu haki ya kikatiba ya kuingia na Kutoka katika chama.

UKWELI UTANIWEKA HURU DAIMA na nipo tayari kulipa gharama zake hata iwe kifo kwa maslahi ya Taifa na Watuwake” Mungu ibariki Tanzania.

Patrobass Katambi
Mwanachama wa CCM.
Wewe ndiye juzi tu ulisema utahamasisha vijana kuingia barabarani leo imekuwaje? Wameshajua bei yako
 
Mwanasheria msomi huyu.....ambaye inafika wakati huoni tofauti kati yake na wale standard seven B jamii ya Msukuma, Kibajaji etc. Hivi huwezi kusepa kimyakimya bila kubishana kwa media? Hata huyo wanayetaka kumuimpress ili atoe shavu anaona kabisa huyu boya hana msaada wowote.
 
IMG-20171123-WA0004.jpg
 
nakukubali sana katambi zigobla karai ucngevumilia hongera zako
 
Aache uongo, kuna kitu anapangwa ili aje atuaminishe kuwa wanaopetea wanapotezwa au wanapigwa risasi na akina mbowe! Tena asijifanye ana busara ni muoga!:-/
Huo ndio ukweli wenyewe na hata lisu ni wao ndio wamefanya hivyo chadema... amka kaka chukua kidogo mitaani changanya na yako then utapata jibu.. sio unaegemea kwenye story za mitandao na vijiweni tumia akili yako kutafakari yanayo endelea ipe akili yako kazi ya kufanya
 
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), Mjumbe wa kamati Kuu, Mjumbe kamati ya Maadili Taifa, Patrobass Katambi amesema ukweli utamuweka huru daima,hekima na busara zake ndio zilimlazimisha kuondoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) na kuhamia Chama cha Mapinduzi (CCM).

Patrobass akiongea na Bongo5 leo amesema kuwa amekihama chama hicho bila kufafanua yaliyomtoa katika chama hicho ili kuacha haiba yao na waendelee na mfumo wao wa siasa mpya.

Sio kwamba sijawajibu, nimewajibuni kwamba asante kwa maswali yote 8 ila hekima na busara zangu zilinilazimisha kuondoka chadema na kuhamia CCM bila kufafanua yaliyonitoa ili kuacha haiba yao waendelee kwa Amani na mfumo wao wa Siasa mpya.

Ila kwakuwa CHADEMA wamenishambulia kwa UONGO kupitia Viongozi wao Wakuu niliowaheshimu sana, sasa nawapa “reasonable time” Wawathibitishie Watanzania kwa ushahidi in Public.
Ikiwa waliyonituhumu si ya kweli au wakakaa kimya bila kukanusha;

Nitalazimika kuwajibu na kutoa sasa sababu za kuhama kwangu Chadema kupitia ‘Press Conference’ nanyi mtaarikwa.

Acha tuwe wanachama wa kawaida CCM chama cha wanachama kinachoruhusu tushauri,tuwakosoe kwa staha viongozi na kuthamini vijana sio kuua vipaji vyao, kuwaburuza na kuwafanya watumwa katika Ufalme wa Misri ya Farao, kuwasaidia kujenga nchi na kudumisha Amani sio ulaghai, porojo na usanii kama huu wa kutuhumu na kuchafua kila anaeondoka Chadema kwa kutunga kashfa ili kumdharirisha mtu na utu wake bila ushahidi. Huku ni kutoheshimu haki ya kikatiba ya kuingia na Kutoka katika chama.

UKWELI UTANIWEKA HURU DAIMA na nipo tayari kulipa gharama zake hata iwe kifo kwa maslahi ya Taifa na Watuwake” Mungu ibariki Tanzania.

Patrobass Katambi
Mwanachama wa CCM.
Ukisha kua yuda iskariot huwez kuwa mwanamme tena ata kama ulihama kwa kuona mabaya.bado ulikua na nafasi ya kubaki na ukatumia hyo karama yako mungu aliyokupa kuona hayo yasiyo sawa kuyarekebisha na kutoa ushaur.najua siwez ona nafsi yako lkn katika maisha kwa usalit ulioufanya utakuumiza sanaa hadi unaingia kaburini.Na ata mwenza wako uliye naye kashakutia hofu kuwa kumbe na ww ni mwanamme usiyekua na msimamo.sana sana una umimi.Katika harakat hzi za kutafuta ukomboz wa kutoka kwa mikucha ya watu wabaya, yani ww kijana unakimbia mapambano!?.Mhmm sikuzan kama ata wale wazee wa vijijin wanaweza kukuzid maarifa aisee.Umimi tulio kua nao Tanzania ndio unaoangamiza Taifa.
 
Mwanasheria msomi huyu.....ambaye inafika wakati huoni tofauti kati yake na wale standard seven B jamii ya Msukuma, Kibajaji etc. Hivi huwezi kusepa kimyakimya bila kubishana kwa media? Hata huyo wanayetaka kumuimpress ili atoe shavu anaona kabisa huyu boya hana msaada wowote.
Hawezi kuona hilo.....hiki ni kipindi cha kiki tu kama hizo ,huyo lazima atapewa shavu
 
Back
Top Bottom