Patriot kuendelea kufanya kazi Ukraine! Kinzhal yatiliwa mashaka u-hypersonic wake

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
38,099
47,099
Baada ya tathmini ya mashambulizi makubwa zaidi ya makombora tangu vita ianze juzi nchini Ukraine, msemaji wa jeshi la anga la Ukraine anasema Patriot zizotumika katika pambano hilo dhidi ya makombora kama Kinzhal zimethibitika kuendelea kufanya kazi vizuri na hivyo WaUkraine wasiwe na hofu yoyote kuhusu mfumo huo.

Kwa uelewa kifupi; Patriot ni mfumo wa ulinzi wa anga wenye sehemu mbalimbali na kila sehemu inawekwa umbali kadhaa na sehemu nyingine. Radar inakuwa sehemu tofauti, launchers hadi 7 na interceptors kwingine sehemu mbalimbali, antenna kwingine na kituo cha control kwingine.

Huyu mfumo wote na chanzo chake cha nishati au generator ambao unaweza kupangiliwa katika eneo la zaidi ya nusu kilometa ndio unaitwa Patriot, hivyo ukisema Patriot imeunguzwa au imetunguliwa huku unaonyesha kipande cha clip cha sehemu moja tu ikiwaka moto unaonekana kilaza au boksi tupu kichwani usiyejua unachosema.

Katika taarifa nyingine Mtaalamu mmojawapo wa masuala ya kijeshi wa Uingereza anasema mfumo wa Patriot unaweza kuharibiwa wote endapo tu utafanyiwa mashumbulizi wote kwa usahihi mkubwa sana kwa pamoja na kwa makombora mengi sana.

Kwa upande mwingine mtaalamu huyo anasema hata hivyo Kinzhal za Urusi zinazoendelea kutunguliwa na Patriot nchini Ukraine sio hypersonic halisi bali ni makombora ya ballistics tu waliyoyaboresha kidogo kuyazidi mengine!
 
Mrusi amebakiwa na manyuklia tu na yenyewe yatatafutiwa muarubaini, sidhani kama USA na mataifa mengine ya Magharibi yapo tu hawakeshi wakiwaza jinsi ya kudhibiti manyuklia ya Urusi, nina uhakika siku Urusi itajaribu kuzitumia itashangaa hazina uwezo wowote kama ambavyo hypersonic zake zimeonyeshwa kutokua na chochote mbele ya Patriot.

Watu wanakesha maabara.....
 
.
Screenshot_20230513-221503.jpg
 
Zilidunguliwa 6 ni ipi kati ya sita imeanza kufanya kazi?
 
Wamepigwa vibaya sana
Nawaonea huruma Taiwan maana Wamenunua Mzigo wa Kutosha halafu unabutuliwa kirahisi kweli . Mfumo unadanganya na Drones ukijitokeza tu Unakutana kitu cha hatari Game is over. Kwa ufupi USA. Imepatwa na mashaka makubwa sana baada kugundua wapo Uchi kabisa .
Wahandisi Warudi kazini tena .Maana Kivu inapigwa hatari tokea Mfumo kuharibiwa huu muda unatafutwa huo mwingine umefichwa wapi wauchakaze tena.
Maskini Ukrine ndiyo mara yangu ya kuona Mzungu kakosa chakula na pakulala.
 
Majihad bana akili zenu mnazijua wenyewe...
 
Ulivyo kigeu geu juzijuzi hapa ulitwambia kwamba air defense systems za jeshi la Ukraine imetungua Russian SU-34 fighter - leo hii tena unatujia na stori tofauti kabasi kwamba kumbe SU-34 ilitunguliwa na friendly fire - sasa tuamini nini tuache nini??
Kunradhi Kwa kukengeuka,mie Bado mtiifu Kwa Putin.
IMG_20230305_121255.jpg
 
Umewahi kujiukiza mbona Rais Zelensky hataki kurudi nyumbani anazunguka zunguka huko Ulaya. Hii sio ishara nzuri kwa Kiev. Nilisema na narudia kusema vita imekwisha baada ya mzigo wa wiki iyopita kupelekea Patriot kuharibiwa tena kwa makombora madogo subsonic.

Na Zelensky akiendelea kukaa nje ya nchi kutafanyika mapinduzi nchini mwake. Wiki ijayoBakhumurt inatangazwa Rasmi kuwa Urusi bado majengo 14 tu kumaliza operation. Na hii ndio itaondoa morale ya wanajeshi na kutaka mapinduzi... wait amd see
 
Mrusi amebakiwa na manyuklia tu na yenyewe yatatafutiwa muarubaini, sidhani kama USA na mataifa mengine ya Magharibi yapo tu hawakeshi wakiwaza jinsi ya kudhibiti manyuklia ya Urusi, nina uhakika siku Urusi itajaribu kuzitumia itashangaa hazina uwezo wowote kama ambavyo hypersonic zake zimeonyeshwa kutokua na chochote mbele ya Patriot.

Watu wanakesha maabara.....
Nje ya mada; Hivi Marekani na washirika wake kwa kipindi cha mwaka na zaidi wameshindwa kabisa kumfurusha mrusi kutoka Ukraine??

Hii inaonesha eitha Mrusi ni imara sana ukilinganisha na hao NATO, au hao akina Marekani ni dhaifu mno ukilinganisha na udhaifu tunaoaminishwa kwamba mrusi anao.
 
Back
Top Bottom