Bukyanagandi, hawezi kuona mpaka ulink kwa kutumia kitu kama dunia chenye macho mawili kwenye box la tatu baada ya B I UAhahahahahah... Bukya. umemsikia TAYADI? Nimekua nawaambia ndugu zangu kuweni na tahadhari kubwa na hizi operesheni za chuki,wakimaliza wenye asili ya Rwanda itakua zamu yetu Wahaya! Dhambi hii haitatuacha salama.
Crapppppp....Kaka katika maisha yangu yote tokea enzi za mwalimu sijawahi kusikia mtu anaestaafu kwa hiari kama kweli alikuwa mchapakazi hodari, wachapakazi hodari hawastaafu kwa hiari hata wakifika umri wa kustaafu wanaongezewa muda
Mkuu Timbilimu, we're used to these kinds of tirade - uzuri tunajua kinacho sababisha yote haya - mkuu unajua kuna baadhi ya Watanzania wenzetu wenye latent ... ya raia wanao toka kanda fulani bila ya sababu za msingi! Hata kama wanajua jina lako awalisemi, utawasikia wanasema yule 'MCHAGA' au yule 'MHAYA' yaani inakuwa raisi kwao kutamka kabila badala ya kutamka jina!! Mimi niliuliza swali dogo tu kwamba mbona Jenerali Ulimwengu aliwahi kuomba kustaafu kazi mapema, na bila shaka alitoa sababu za msingi ndio maana alikubaliwa kustaafu mapema - ni hilo tu! Sasa kulikuwa na sababu gani ya baadhi ya wanaJF kunijia juu - kama wana issues binafsi na mzalendo Rutabanzibwa waseme na sio ku-vent hasira zao kwa watu wengine.Ahahahahahah... Bukya. umemsikia TAYADI? Nimekua nawaambia ndugu zangu kuweni na tahadhari kubwa na hizi operesheni za chuki,wakimaliza wenye asili ya Rwanda itakua zamu yetu Wahaya! Dhambi hii haitatuacha salama.
Mkuu Taifa letu lilipo ruhusu raia kumiliki vyombo vya habari/magazeti, ndugu Ulimwengu alikuwa ni among ya jamaa walio anzisha makampuni za media.Generali Ulimwengu sijui sababu hasa zilizomfanya astaafu mapema lakini najua wajuzi watadadavua hili
Sio kweli.Kaka katika maisha yangu yote tokea enzi za mwalimu sijawahi kusikia mtu anaestaafu kwa hiari kama kweli alikuwa mchapakazi hodari, wachapakazi hodari hawastaafu kwa hiari hata wakifika umri wa kustaafu wanaongezewa muda
Hapa hii habari inanichanganya.Wakati IPTL inaingia Tanzania baada ya kukataliwa Kenya yeye ndiye alikuwa katibu mkuu wa wizara ya nishati na madini,alihusika sana na kuandaa mikataba mibovu iliyoenda kujadiliwa na baraza la mawaziri na leo tumeona jinsi TANESCO na watanzania tulivyokamuliwa...Kubenea ipi ajenda ya siri unayotaka kutuaminisha watanzania?
Kutokusikia kwako kusifanye hiyo ndiyo iwe ukweli halisia kwa kila Mtanzania. Kwanza kutokusikia kwako kunategemea na angle ya maisha yako ilipo. Jaribu kufanya research kwanza kutafuta ukweli kuliko kusubili kusikia.Kaka katika maisha yangu yote tokea enzi za mwalimu sijawahi kusikia mtu anaestaafu kwa hiari kama kweli alikuwa mchapakazi hodari, wachapakazi hodari hawastaafu kwa hiari hata wakifika umri wa kustaafu wanaongezewa muda
Ishu hapa ni hili gazeti la kubenea kusema DR Slaa amekiri huyu jamaa sio fisadi
natamanikusikia chadema wanasemaje na hili
Jenerali Ulimwengu alistaafu cheo kipi??????? Ubunge au????????????
acha kuzusha maneno bila ushahidi.......una ushahidi wa hili unalosema? .... maana documents tulizoona sisi ni kuwa yeye aliipinga na akamshauri mkapa aikatae lakini kukawa na wajanja wengine ndio waliomsukuma Mkapa kuikubali IPTL akiwemo JK!
Wakati IPTL inaingia Tanzania baada ya kukataliwa Kenya yeye ndiye alikuwa katibu mkuu wa wizara ya nishati na madini,alihusika sana na kuandaa mikataba mibovu iliyoenda kujadiliwa na baraza la mawaziri na leo tumeona jinsi TANESCO na watanzania tulivyokamuliwa...Kubenea ipi ajenda ya siri unayotaka kutuaminisha watanzania?
Si katika miradi mikubwa tu kama hiyo uliyoitaja tu, hata sisi wananchi wanyonge wa maeneo ya Luguruni, Kwembe n.k ambao watumishi wa wizara ya ardhi walikuwa wametupora fidia na ardhi zetu tunamtakia mapumizko mema kwani bila yeye fidia na ardhi za wananchi wanyonge visingepatikana kabisa
Huyu bwana alivyomkali hakuna mtumishi anayeweza kumpenda hasa kwa mazoea yetu.
Wakati IPTL inaingia Tanzania baada ya kukataliwa Kenya yeye ndiye alikuwa katibu mkuu wa wizara ya nishati na madini,alihusika sana na kuandaa mikataba mibovu iliyoenda kujadiliwa na baraza la mawaziri na leo tumeona jinsi TANESCO na watanzania tulivyokamuliwa...Kubenea ipi ajenda ya siri unayotaka kutuaminisha watanzania?
Mkuu Timbilimu, we're used to these kinds of tirade - uzuri tunajua kinacho sababisha yote haya - mkuu unajua kuna baadhi ya Watanzania wenzetu wenye latent ... ya raia wanao toka kanda fulani bila ya sababu za msingi! Hata kama wanajua jina lako awalisemi, utawasikia wanasema yule 'MCHAGA' au yule 'MHAYA' yaani inakuwa raisi kwao kutamka kabila badala ya kutamka jina!! Mimi niliuliza swali dogo tu kwamba mbona Jenerali Ulimwengu aliwahi kuomba kustaafu kazi mapema, na bila shaka alitoa sababu za msingi ndio maana alikubaliwa kustaafu mapema - ni hilo tu! Sasa kulikuwa na sababu gani ya baadhi ya wanaJF kunijia juu - kama wana issues binafsi na mzalendo Rutabanzibwa waseme na sio ku-vent hasira zao kwa watu wengine.
TibaAlistaafu ukuu wa Wilaya. Alikuwa mkuu wa Wilaya ya Ilala na baada ya kuishushua serikali juu ya rushwa bungeni alipigwa transfer kwenda Singida. Sina uhakika kama kweli alikwenda Singida lakini ni kipindi hicho hicho alitangaza kustaafu.
Tiba