Patoranking vs Burna Boy

Patoranking vs Burna Boy

screpa

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
10,902
Reaction score
15,928
Hawa wakali wawili kutoka Nigeria muziki wao unasound tofauti kidogo ila bado nawaweka kwenye aina ya muziki inayoendana, wote wana hits kibao. Je yupi ngoma zake zinakukonga zaidi?

****BURNA BOY****

1. On The Low
2. Ye
3. Killin' dem
4. Gbona
5. Dangote
6. Like to party
7. Collateral Demage
8. Gum Body
9. Pull up
10. Anybody


****PATORANKING****

1. My Woman
2. No Kissing Baby
3. Love You Die
4. Daniela Whine
5. This kind of Love
6. Girlie 'O'
7. Everyday
8. This Kind Luv
9. Confirm
10. Suh Different



NB: Hizo ni baadhi tu ya hits zao
PhotoGrid_1_20200325085740.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa moyo wa dhati kabisa naona apo za pato ndo za moto..

Hiyo this kind of love. Ni faya ***** naona girlie o
 
Burna Boy mkali
nyimbo si zamakelele kama Patoranking.
 
Tatizo la wabongo kutokujua kingereza huwa tunajikuta tunashabikia nyimbo tusizozielewa kabisa. Jamaa wanaimbaga vitu non sense kabisa ila kwakuwa hayuelewi kingereza unakuta unamshabikia burna boy kwajili ya lile lisauti lake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la wabongo kutokujua kingereza huwa tunajikuta tunashabikia nyimbo tusizozielewa kabisa. Jamaa wanaimbaga vitu non sense kabisa ila kwakuwa hayuelewi kingereza unakuta unamshabikia burna boy kwajili ya lile lisauti lake

Sent using Jamii Forums mobile app
Muziki ni burudani, kama unataka 'sense' kasikilize hotuba za Mwalimu JK Nyerere

Sent using Jamii Forums mobile app
 
They call me burnaaa...
on the low
Own it ft stormzy ft Ed sheeran
Colateral damage...
Mdau ulosema nyimbo za burna hazieleweki...
Sikiliza Another story ft manifest...Dangote Yupo alone, Anybody....Different ft Darmian Marley and Angelique kidjo....
Burna is the best to me


Japo Whayasay Nae nyimbo zake nazikubali kaa wilmer, Heal De world....This kind love, Confirm Ft Davido
the best of all God over everything
#whaysay
 
Daaah nilikuwa namuelewa sanaa Panto lakini nakiri kabisa African Giant amekuja kutake over, jamaa ana Vocals flani hivii na vibe la kutosha, alafu yupo vizuri kwenye performance akiwa kwenye stage.
 
Mimi napenda mziki msanii hanishugulishi sana.
Nawapenda wote

2. Ye
3. Killin' dem
10. Anybody

****PATORANKING****

1. My Woman
2. No Kissing Baby
3. Love You Die
6. Girlie 'O'
10. Suh different

Patoran kwangu mimi ana Hit nyingi kuliko burnaboy ..Burna nampenda kwenye Gbese.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom