Wakuu nahitaji patner au tulime matunda aina ya parachachichi au kupanda miti ya mbao pines
.
Eneo la kulima ni mkoani njombe
Binafsi ninamtaji kiasi na Ardhi kiasi cha eka 15 maalumu kwa kilimo hiki.
Aliyetayari tuwasiliane.
Miaka 3 kwa haya ya budding(yaliyopandikizaw vikonyo yanakuw tayari, na haya ya kawaida ni miaka 6_8 ..yategemea na hali ya hewa ya eneo husik na aina ya udongo