Sister una idea nzuri sana. Ila naomba nikupe ushauri mdogo, unapotaka kumjibu mtu kwenye ule ujumbe wake bonyeza "reply with quotes" ili tuone unajibu hoja ipi. Ukimaliza kuandika bonyeza "Post Quick Reply". Otherwise nakutakia mafanikio kwenye hili unalotaka kufanya
asante umenitoa ushamba.!