Salama Jay
Senior Member
- Oct 24, 2013
- 131
- 68
- Thread starter
-
- #21
that y nilisema kama mtu yupo interested anitafute inbox nitampa my dial ili tuwasiliane zaidi..naweza kukutumia email au tukaonana..kukuelewesha apa na ukawa convinced ni kazi kwakweli..
my join date doesnt matter..what matters is what i want to do!usidhani kila mtu ni tapeli..ata mm nachukua risk to display my idea kwa watu siwajui..wat if idea yangu iibiwe..and i joined jamii forums especially for this purpose na sio nyingne
Join Date : 24th October 2013
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received:0
Likes Given:0
Jina Uliltotumia,join date yako hapa forums,kuna utata kwann usianike kwa uwazi kuwa hiyo project inahitaji shs ngap contribution yako ww pia.Maana tangazo lako hujajiamin mpaka umetumia jina la mtu maarufu wa kwenye luninga ambaye naamini hawezi kutangaza hivi kupata partner.
ushauri wa bure pesa ni ngumu kwa wote,tumia akili na mbinu mbunifu wakati unataka tapeli raia ambao hawana ajira.
yaani inakera kwakweli..mtu hana interest ila maswali mia..!aisee i wnt stand thm..!siwezi ntawajibu kama wanavyofaa kujibiwa.!thnx for backing me up.!
n u r among the negative response..!sioni haja ya mtu kurespond kama ataona ni utapeli..coz its an open thing..you either take it o leave it.!kwa wale walikua na interest nimewaelewesha na wakaelewa hyo 5m ni ya nin..so please stay out of it kama unaona utapeli..PERIOD[/QUOTE
😱