Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,712
Usijal just come to my kingdom mbona utaenjoy jamani wanataka kukuzeesha binti mbichi kabisa kha!Adi nakuonea wivu jamani,looh
Ndo unamrusha roho mwenzioooo!Haya best nami ndio nilikuwa navuta muda, nijiandae tuanze safari ya mtoko wa dinner. Later and take care
Wewe njoo utakubali mwenyewe hakuna upweke tenaKweli eeeh
Unaenda wapi? au ndo unatoka mwenzio analia na upweke hapaJamani mie napita tu sijui wazima humu?
Unaenda wapi? au ndo unatoka mwenzio analia na upweke hapa
Jamani hata leo?Nafika hapa mbele mara moja na mie naenda kulia nina upweke
Jamani hata leo?
Leo ni ijumaa pekee kwa mwaka huu kwa wapendanao ukiona uko peke yako ujue mwenzio ameenda kwenye koloni lingineEeeh leo si ijumaa kama ijumaa nyingine?
Leo ni ijumaa pekee kwa mwaka huu kwa wapendanao ukiona uko peke yako ujue mwenzio ameenda kwenye koloni lingine
Hahahaha play your part akirudi atakuwa amechoka sector zote yaani kwako atakuwa anajipanga upyaAcha aende tu but am sure atarudi tu kwangu
Ndo unamrusha roho mwenzioooo!
Hahahaha play your part akirudi atakuwa amechoka sector zote yaani kwako atakuwa anajipanga upya
Ndio ukweli huo karibuni tu hapa now wine lwa taratibu na love songs.
Kwani uran bado tu kujitokeza?
Hahahaa una roho ngumuHata kama atakuwa kachoka lakini si yupo kwangu so tunasongesha life hivyo hivyo