Mi simoooo mapenzi ni ya watu wawili.
Sipati picha shostito wangu hapo ulipo. Hebu jaribu kumcheck kwa njia nyingine basi sweet.
Mi mwenzako kila dakika Sungura1980 lazima anitafute ajue kama niko okay. Nampendaje huyu mwanaume acha tu.
Pole best
Acha tu shost,my huby simwelewi sikuhizi. Mzee kila siku anamsubiri aje kujitambulisha home lakini hatokei. Sijui ndo anamalizia ujana jamani
Dah pole sana siku kama ya leo hupaswi kuwa peke yako ukiona hivyo yuko kwa bimdogo,kumbe hata ndoa hajatangaza anakufuja tu hebu njoo huku nikuliwaze maana hapo utamsubiri sanaUrani popote ulipo tambua nakuhitaji siku yaleo kuliko maelezo. Kwanzia juzi nakusakasaka sijakutia machoni. Patachimbika usiponipa maelezo ya kuridhisha leo
Kule aje tu maana anaweza akapata wa kumtuliza moyo maanaa huu upweke balaaNikwambie kitu? acha kwenda mitaa ya kutongozana anasikia wivu unashinda kwenye ile nyumba wakati ulishatoka huko. Mimi sikanyagi labda kwa jambo la muhimu tu.
Ukiona hivo ujue upweke umezidi shost,naenda kupunguza mawazo kule
Kule aje tu maana anaweza akapata wa kumtuliza moyo maanaa huu upweke balaa
Ukiona hivo ujue upweke umezidi shost,naenda kupunguza mawazo kule
Asijali kuteleza siyo kuanguka mwambie aje kwenye mti pale nimliwaze apate faraja ya kweli tena sio ya msimuDah kama ni hivyo pole sana, katika uchaguzi wa mume ulipaswa uwe makini sana unaona sasa?
Niseme nini tena hapo kwani hata picha huoni mwambie aje pale nimtulize hutamsikia akilalamika tenaSi useme tuuuuuuu......... Ongea namimi vizuri niongee na Valentina shauri yako, miezi inakatika hii
Njoo usigeuke nyuma utageuka jiwe la chumvi kumbe siku zote unamachungu moyoni ila leo yamekuzidia unaona sasa unavyopata shida ama kweli mficha maradhi kifo humuumbua hebu fanya haraka kabla haujaumbuka nikusitiriHeheee ngoja kagiza kaingie asiporudi nakuja huko