Unajua, wanaruhusiwa kujibu shambulio ila hawaruhusiwi kuanzisha shambulizi. Kwa hiyo misheni yao ni ngumu kuliko ile ya DRC's MUNOSCO wanaruhusa ya kushambulia watakayethibitisha kuwa ni adui.
hii sasa itawafanya askari wanalilia kwenda darful wakijua kuwa ni sehemu ya kuchuma pesa bila jasho wajifikirie mara mbili kabla ya kwenda. nadhani hii ruhusa itawafanya hao waasi huko sudan nao kujizatiti zaidi.
Mbona unapotosha habari, siku zote ilikuwa hivyo ila tuseme viongozi wetu waliamua kupotosha ukweli au hawakuelewa na hata ukisoma habari yenyewe inamkanusha aliyetoa hiyo habari:
""The UN forces in Darfur operate under Chapter Seven which allows the use of force and in fact in this incident they did return fire," said Mr Cycmanik. He noted that reports that the TPDF soldiers who died in a rebel attack in the troubled Sudanese region were unable to protect themselves are not true.
Cycmanik was clarifying a statement made by the Tanzania People's defence Forces (TPDF) spokesman, Lieutenant Colonel Kapambala Mgawe last Monday, in which he said the country is seeking a review of UN mandate in Darfur to enable peace keeping soldiers retaliate with fire power if attacked."
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.