Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 1,954
- 2,166
Pay after delivery? Hii bei ni hadi bidhaa inanifikia au ikiwa znz?
Nasubiri jibu kiongozi...!
Pay after delivery? Hii bei ni hadi bidhaa inanifikia au ikiwa znz?
Kama huna pesa kaa kimya wateja wanunue.Tatizo la vyombo vya Zanzibar ni kwamba haviaminiki, unanunua chombo kumbe kina majini ndani yake.
Set nzima? Havichuji?Vijiko vyote utapata kwa 10000 tu
Vinachuja maana hivo ni vichujio.Set nzima? Havichuji?
Vinachuja maana hivo ni vichujio.
Mkuu inategemea na matumizi yakoSet nzima? Havichuji?
Hebu vilete hukuMkuu inategemea na matumizi yako
Kama vitatumika kwa kulia tu vitachelewa kuchuja.
Ila kama ni wale wa kuacha vyombo vinalala kwenye maji ama wanatumia kusafishia vyombo na kukwangulia ukoko kwenye masufuria lazima vitaharibika.
Sawa kaka