Pata Viwanja Vyenye Hati Bagamoyo kwa bei Nafuu Kabisa.

Doltyne

JF-Expert Member
Aug 29, 2011
440
166
Viwanja vinauzwa, vipo blok H kitopeni, Bagamoyo. Kiwanja namba 108 Kina ukubwa wa 1164sqmtr, na kiwanja namba 109 kina ukubwa wa 1154sqmtr.
Bei 18m Kila kimoja. Vimepimwa na Vina Offer/Hati ya miaka 66.
Kitopeni ni 5km kabla ya kuingia bagamoyo, na viwanja vipo 600m kutoka bagamoyo road.


Viwanja Vingine viwili vipo Block A, Mataya-Bagamoyo. Mataya ni 6KM kabla ya kuingia bagamoyo Mjini, Na viwanja vipo 1.7km Kutoka Barabara ya Bagamoyo. Kiwanja namba 24 kina ukubwa wa 4800sqmtr na Kiwanja namba 23 Kina ukubwa wa 4044sqmtr. Bei ni 9500 kwa sqmtr moja...Vyote Vimepimwa na Vina Hati.


NB: Viwanja vyote vinafikika (kuna barabara mpaka viwanjani)
Wasiliana na Mmiliki kwa namba 0713458746.
NB: Hizo ni bei elekezi (maelewano Yapo).
 

Doltyne

JF-Expert Member
Aug 29, 2011
440
166
Ila bei zake si mchezo hata kama ni elekezi basi acha tu.Hiyo ni bagamoyo tu!
Mkuu Ndio soko lilivyo.... Nakumbuka mwaka huu kibaha kulikuwa na viwanja nikaenda kuchukua form... walikuwa wanauza sqmtr 2000 kwa 17m... Sasa atakayekinunua akakiendeleza, akija kuamua kuuza atauza ngapi!?
Gharama za upimaji na mchakato mzima wa hati ni balaa aisee...
 

Mgaya D.W

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
965
475
Mkuu Ndio soko lilivyo.... Nakumbuka mwaka huu kibaha kulikuwa na viwanja nikaenda kuchukua form... walikuwa wanauza sqmtr 2000 kwa 17m... Sasa atakayekinunua akakiendeleza, akija kuamua kuuza atauza ngapi!?
Gharama za upimaji na mchakato mzima wa hati ni balaa aisee...
Nimekuelewa mkuu vipi hivyo vimeendelezwa kwa chochote au bado!
 

Doltyne

JF-Expert Member
Aug 29, 2011
440
166
Nimekuelewa mkuu vipi hivyo vimeendelezwa kwa chochote au bado!
Vimeendelezwa ndugu, Hiyo barabara ninayozungumzia hapo Tumechonga wenyewe. Kuna Kisima Katika moja ya viwanja hapo Tumeshachimba ni kuvuta tu maji. Mengine nadhani itakuwa vema ukipiga simu utaelezwa. Siko Online Muda wote, hivyo naweza kuchelewa kujibu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom