Pata viwanja heka kwa bei poa

Pata viwanja heka kwa bei poa

Usemalo kweli mkuu ila nakuomba ukiwa wa kwanza kwa ushaur mzuri twende ukajionea mwenyewe, viwanja vipo na bei ndio hiyo tajwa ukishapenda na kutaka kuthibitisha nakujilidhisha tutakupeleka kwa afisa mtendaji nakupata maelezokamili.

Mkuu kuwepo kwa afisa mtendaji bado sio kuthibitisho kuwa eneo sio la magumashi. Mnaweza kumuweke mtendaji feki Au mkapanga mchezo na mtendaji original.

Nimekuomba unipe physical address ya ofisi za kampuni yenu ili nije lkn kimya
 
Tupo Sinza Palestina
mtaa wa girafee lodge ukuta wa posta
karibu sana mkuu
sikuwa online sorry.
 
Back
Top Bottom