mtamanyali
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 1,161
- 613
verossa yenye cc 1980 namba c, km 113000 ipo kwenye hali nzuri bei ni mil 8.5. nitumie whatsap namba yako nikutumie picha tuelewane.
Yaani ume log in jamii forum picha unataka utume whatsapp?verossa yenye cc 1980 namba c, km 113000 ipo kwenye hali nzuri bei ni mil 8.5. nitumie whatsap namba yako nikutumie picha tuelewane.
Yaani ume log in jamii forum picha unataka utume whatsapp?
Si kila mtu anatumia whatsapp, ebu fanya biashara
hakuna ugonjwa wowote mkuu sio mdogo wala mkubwaUgonjw wowote, uwe mkubwa au mdogo?
Location wapi ? niangalie opportunity...hakuna ugonjwa wowote mkuu sio mdogo wala mkubwa
Singida mjiniLocation wapi ? niangalie opportunity...
Bei poa ni sh ngapi kwa kawaida ya bei halisi???????verossa yenye cc 1980 namba c, km 113000 ipo kwenye hali nzuri bei ni mil 8.5. nitumie whatsap namba yako nikutumie picha tuelewane.
SIJAKUELEWA mkuuBei poa ni sh ngapi kwa kawaida ya bei halisi???????
Rahisi ni asilimia ngapi ya bei halali?SIJAKUELEWA mkuu
mimi ndio mmiliki wagari mkuuRahisi ni asilimia ngapi ya bei halali?
Ulinunua sh ngapimimi ndio mmiliki wagari mkuu
Mkuu unataka bei niliyonunulia ufananishe? Any way kama unataka Gari tuzungumze sidhani kama bei niliyonunulia inanafasi muda huuUlinunua sh ngapi
Shuka kidogo linahitajika Mbeya.....Mkuu unataka bei niliyonunulia ufananishe? Any way kama unataka Gari tuzungumze sidhani kama bei niliyonunulia inanafasi muda huu