Pata universal modem!.

Pata universal modem!.

dlink

Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
69
Reaction score
18
kama upo dar' jipatie Universal Modem kwa Tsh.35,000/= bila usumbufu wa kuanza ku'unlock or what...
Model yake 3.5G, HSPA.
Speed 7.2Mbps (HSDPA).
Ina'slots mbili...moja kwa'ajili ya line yako Mtandao wowote na yapili ni kwa'ajili ya Memory Card. Check picha yake apo..
CONTACTS; 0718'646486 & 0769'741223!
 
Attachments

  • Modem7.2.jpg
    Modem7.2.jpg
    19.5 KB · Views: 214
kama upo dar' jipatie Universal Modem kwa Tsh.35,000/= bila usumbufu wa kuanza ku'unlock or what... Model yake 3.5G, HSPA. Speed 7.2Mbps (HSDPA). Ina'slots mbili...moja kwa'ajili ya line yako Mtandao wowote na yapili ni kwa'ajili ya Memory Card. Check picha yake apo.. CONTACTS; 0718'646486 & 0769'741223!
Utamu wa modem ni kuunlock bana hizo HSPA mbwembwe tu!!
 
acha wizi mkuu moderm hizo bei yake 29000/= waelekeze duka lilipo posta sio unataka kula cha juu 6000 haitakupeeka sehemu yoyote hata nyumba hautajenga tuondolee upuuzi wako humu waelekeze ukishwa me nitawaelekeza kwa bei niliotaja
 
Kila mtanzania akipata mwanya anataka anufaike mwenyewe, thnx kwa kumuumbua
 
kama upo dar' jipatie Universal Modem kwa Tsh.35,000/= bila usumbufu wa kuanza ku'unlock or what...
Model yake 3.5G, HSPA.
Speed 7.2Mbps (HSDPA).
Ina'slots mbili...moja kwa'ajili ya line yako Mtandao wowote na yapili ni kwa'ajili ya Memory Card. Check picha yake apo..
CONTACTS; 0718'646486 & 0769'741223!

Unapatikana wapi?
 
elekeza mkuu,huyu hawezi kutuelekeza tamaa ya fedha imemjaa
acha wizi mkuu moderm hizo bei yake 29000/= waelekeze duka lilipo posta sio unataka kula cha juu 6000 haitakupeeka sehemu yoyote hata nyumba hautajenga tuondolee upuuzi wako humu waelekeze ukishwa me nitawaelekeza kwa bei niliotaja
 
acha wizi mkuu moderm hizo bei yake 29000/= waelekeze duka lilipo posta sio unataka kula cha juu 6000 haitakupeeka sehemu yoyote hata nyumba hautajenga tuondolee upuuzi wako humu waelekeze ukishwa me nitawaelekeza kwa bei niliotaja
Duh hii ndiyo Bongo Darisalama! hakuna wa kumwamini kuanzia Rais hadi tarishi! Mkuu tusaidie sisi tusioelewa zinakopatikana ili tuzinunue kwa hiyo 29,000/=.
 
kama upo dar' jipatie Universal Modem kwa Tsh.35,000/= bila usumbufu wa kuanza ku'unlock or what...
Model yake 3.5G, HSPA.
Speed 7.2Mbps (HSDPA).
Ina'slots mbili...moja kwa'ajili ya line yako Mtandao wowote na yapili ni kwa'ajili ya Memory Card. Check picha yake apo..
CONTACTS; 0718'646486 & 0769'741223!

Niko tayari kwa 35000/- lakini uniletee ofisini Pugu rd karibu na Uchumi.
 
acha wizi mkuu moderm hizo bei yake 29000/= waelekeze duka lilipo posta sio unataka kula cha juu 6000 haitakupeeka sehemu yoyote hata nyumba hautajenga tuondolee upuuzi wako humu waelekeze ukishwa me nitawaelekeza kwa bei niliotaja

JAMANI adata5 kwani umeshikiwa Mtutu Ununue kwangu??? Mind your bizy...
#Nauza kwabei yangu Utaki Acha...#F .
 
Last edited by a moderator:
aaaaha ndo unitukane me F ukweli unauma eheeee we una kiwanda cha kuzalisha hizo moderm au unakuwa mmachinga tena kwa kutaka kuwaibia watu humu ndani 6000 itakupeleka wapi mbona unaendekeza njaa ambazo hazina msingi
 
Hiyo 6000 itakuwa delivery charges hata hivyo tuna biashara huru!!
 
Itanunua fisi, wakat nina modem yang ya ZTE nlinunua 20 elf nime unluck buree kwa mikono yangu , saiz na surf net kiroho safi
 
Duh hii ndiyo Bongo Darisalama! hakuna wa kumwamini kuanzia Rais hadi tarishi! Mkuu tusaidie sisi tusioelewa zinakopatikana ili tuzinunue kwa hiyo 29,000/=.

kwa uzowefu wenu zipi nzuri , za 29 elfu za hspa au za voda na tigo na zantel kwa 30?
 
Aaaghy... ..
adata5 we piga yowe Mnyamwezi nakula vichwa no matter what,..sikati tamaa kwa domo la Mswahili ka'wewe. . .
Huo ndio Ubunifu+Ujasiliamali., sa'wewe kukalia jungu tu..
.."mjasiliamali jitume, usingoje kupewa ajira"
Kazi Kwako.,
 
Last edited by a moderator:
hao jamaa wana majungu na wivu balaa yaani walitaka ununue 29000 na wao uwauzie bei hiyo hiyo? wasamehe bure kaka hawajui maana ya biashara. pale k'koo kuna watu wanajumua mzigo duka la kwanza wanauza duka la pili. usikate tamaa ndg.
 
Wana tech adata 5 na dlink tunahitaji hoja zenu za ki tekinik na sio kuvimbishiana vifua. adata 5 ki uhalisia post yako nawe imekaa ki biashara post ambayo ulitakiwa uibandike jukwaa husika uzuri wa jf ina forums nyingi,huwezi kuanzisha sread inayohusiana na ujuzi wa mapishi na ukaiweka jukwaa la elimu japo zote ni elimu.hivyo basi kaandike uzi mwingine kule ktk matangazo afu wewe ukiona member jukwaa lolote anatafuta modem ya namna hiyo unampa link ambayo itampeleka kulee kwenye uzi wako.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom