Kyenju
JF-Expert Member
- Jun 16, 2012
- 5,335
- 2,903
Ebwana umetumia software gani ku unlock, nataka ku unlock modem ya tigo.Itanunua fisi, wakat nina modem yang ya ZTE nlinunua 20 elf nime unluck buree kwa mikono yangu , saiz na surf net kiroho safi