Pata TOYOTA IST bomba Bila nguvu ya Dalali

Pata TOYOTA IST bomba Bila nguvu ya Dalali

Mkoko huo toka mikononi mwa Mama.
 
Tena bei mwakeee
Sijui kama Mama hana Passo inashuka Bandarini.

Na kama vibali vinaisha June mwakani ni kwamba haina muda mrefu njiani.
Na Pia kama ni Ilala basi mtu huyo hana nyendo saana.
 
Kwa bei hiyo ni sawa kabisa....gari kimwonekano iko vizuri sana
 
Kuna wanawake wanaendesha gari rafu kama madereva daladala...so kigezo cha kumilikiwa na mwanamke sasa hakimati mjini.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Bei si mbaya ila Mimi si mpenzi wa IST na VITZ hivi vigari siju kwanini sivipendi kabisa.Kwa ujumla gari ndogo ndogo sipendi labda kwakuwa mimi ni mtu wa masafa marefu.

Napenda sana Toyota za UK kwakuwa ni nzito na speed ipo vizuri sana.

.. Ngongo gari hiyo
 
Magari ya UK yenye kirungu nyuma sijui ni kwa nini hayauziki?
 
Gari nyingi za UK ni manual transmission hilo ni tatizo kwa madereva wengi hawataki usumbufu,pili barabara za mjini foleni ni jambo la kawaida sasa unapokuwa na manual transmission kero inakuwa kubwa mara dufu.Hizi gari ukitaka kuzifaidi safiri nazo masafa marefu utazipenda hakuna cha SUBARU wala nini mbele ya macho yako gari inatembea 180 - 200 km pr hour imetulia barabarani hadi raha.Specification ya Ulaya gari lazima zitembee mwendo mkubwa tofauti na specification ya uku Africa au kwa lugha ya kistaarabu wanasema general specification maalamu kwa dunia ya tatu.Corolla General na Corolla ya UK ni gari mbili tofauti sana maana ya mwendo,comfortability..........

Magari ya UK yenye kirungu nyuma sijui ni kwa nini hayauziki?
 
Tena bei mwakeee
Sijui kama Mama hana Passo inashuka Bandarini.

Na kama vibali vinaisha June mwakani ni kwamba haina muda mrefu njiani.
Na Pia kama ni Ilala basi mtu huyo hana nyendo saana.

Just Imagine ilikuja na 76,000kms from JPN. Leo hii inasoma 95,800km.

Ruti za Mtumiaji(wife) ni kutoka Ilala-Boma hadi kazini Upanga(diamond Jubilee).
 
ilala boma mtaa gani mkuu nije niione gari!au huku kwenye flats upande wa mchikichini
 
ilala boma mtaa gani mkuu nije niione gari!au huku kwenye flats upande wa mchikichini

Thanks Mkuu. Gari ishauzika tayari. Watu wameibeba jana July/04.2015.

Thanks for your Interest again.
 
Back
Top Bottom