Pata Toleo Jipya la WhatsApp Plus

no nm

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
212
Reaction score
32
Baada ya WhatsApp kununuliwa na Facebook waliamua kufanya mabadiliko mbalimbali yakihusisha kuzuia apps za aina hizi ambazo si rasmi zishindwe kufanya kazi. Moja ya hatua waliyoweza kuifanya miezi michache iliyopita ni pamoja na kuwazuia watu wanaotumia apps zisizorasmi kupata huduma za WhatsApp kwa zaidi ya masaa 24. Muda umeenda na watengenezaji wa toleo la WhatsApp Plus wameweza kutengeneza toleo linaloshinda zuio hilo la masaa 24, na pia katika toleo hili hata uwezo wa kupiga simu za WhatsApp unapatikana kama kawaida.

Sifa za Whatsapp Plus Reborn v1.80

Badilisha muonekano wa WhatsApp (theme),
rangi yake na ata ‘fonts’.
Tuma mafaili kwa ukubwa wowote hadi kufikia MB 50
Ficha habari zako za kupatikana ‘Online’ na ‘Last Seen’
Tuma picha kwenye ubora mkubwa (Quality)

Kushusha APK ya WhatsApp Plus Anti- Ban (MB 24) bofya

HAPAA...! & enjoy ,..!
 
plus ina bugs kwa upande wa message znachelewa kuingia
 

Mkuu nimeinstall hii kitu lakini siku nzima sasa nashindwa tumia kama mwanzo.

Taratibu zote nimezikamilisha nilipofika hatua ya ku-update my Profile ndio kikwazo kwani inafanya Initializing mpaka sasa (almost masaa 5 sasa)

Naomba ushauri nifanyeje?
 
Wadaauuuuu




Na nyie mmepigwaa barn leooo
au ni Mimi tu what:
 
Mimi hiki ndicho ninachopata msaada tafadhali kwa anayeweza tatua
 

Attachments

  • 1437395047844.jpg
    29.6 KB · Views: 461
Mimi hiki ndicho ninachopata msaada tafadhali kwa anayeweza tatua
Pole mkuu ww pia unatumia app zaidi ya moja kwa WhatsApp au?? kama unayo moja tyu nenda ktk store ya cm yako wether playstore au apple store then download latest version...kama una cranked yani WhatsApp zaidi ya moja sema mfano mimi nina whatsapp nne number tofauti ktk simu moja
 
Walio-download hapo juu tunaomba mrejesho plz...!.
 
Mimi hiki ndicho ninachopata msaada tafadhali kwa anayeweza tatua

Mimi ilitokea hivyo ijumaa

Nikaifuta nikajaribu Ku download Whatsap ya kawaida but ikagoma kufunguka , nikajuaa tu ntakua nshapigwa ban

Nikaingiza namba Yang nyingine ikakubali
 
Thanks #new korongwe kwa hiyo hakuna alternative ya kulifix hilo tatzo?
Au baada ya kuidownload latest version hatua gani inafuata ili WhatsApp+ ifanye kazi?
Please nifafanulie kidgo hapo mr #korogwe
 
Naomba mnisaidie namna ya kuficha "last seen" yangu isionekane kwa watu wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…