Laptop bei nafuu
Member
- Feb 7, 2012
- 81
- 112
Yani ni uswahili swahili tu kila sehemuSawa na bure maana yake nini?
Unataka ziuzwe bei ganSimu za Tecno hata ziwe nzuri vipi hazipaswi kuuzwa laki tano😡😡😡
Bei yake nafuu zaidiSawa na bure maana yake nini?
Special for africa sababu umeme kukatika katika husababisha simu kupat shoti hivyo hizi zinaweza kuhimili hilo tatizo na matatizo mengine mengiHizo samsung za Africa zina tofauti gani?
Uswshili gan mkuuYani ni uswahili swahili tu kila sehemu