Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 3,761
- 9,163
Ni changamoto. Nilimlipa fundi anitengenezee madirisha ya mbao sasa mwaka wa pili ananizungusha.Yeye anaangalia upande wake tu hajali upande wako. Na ukiona hivyo ujue hakuna uaminifu.
Yeye anataka wewe umuamini ila yeye hataki kukuamini. Wakae na samaki wao mimi sirudii tena makosa nilipata hasara kubwa tu kwa ujinga wangu
Kuwa mwelewa nadhani hata yeye hakatai kuuzia Kwa uzito kamili akiwa samaki ameshaoshwa lakn nadhani Kuna bei tofauti,,,mbona mbuchani nyama isiyo na mifupa yaani [emoji3052] steki si Ina bei yake kubwa tofauti na mchanganyiko.Ila wafanya biashara ni wezi sana. Yani samaki umpime uzito akiwa na magamba na mapezi na tumbo (huo ndio uzito mteja atagharamia) halafu ndio umuoshe na kumtumbua?
Kwanini usimtumbue na kumuosha ndio umpime uzito uniuzie? Kwani na hayo mauchafu unanitumia?
Sio lazima kutumbua na kuosha,tunaweza kukutumia bila kuwatumbua ili utumbue mwenyewe.Ila wafanya biashara ni wezi sana. Yani samaki umpime uzito akiwa na magamba na mapezi na tumbo (huo ndio uzito mteja atagharamia) halafu ndio umuoshe na kumtumbua?
Kwanini usimtumbue na kumuosha ndio umpime uzito uniuzie? Kwani na hayo mauchafu unanitumia?
Nipo hapa Morogoro mjini, nauza Sangala 1 kg kwa 12,000Kama unahitaji Samaki weka order yako lipia utumiwe mzigo wako .
• SATO.
1. Wabichi.
2. Kukaanga.
3. Kg 13,000.
• SANGARA.
1. Wabichi.
2. Wakavu.
3. wakukaanga.
4. Kg 11,000.
• DAGAA.
1. Wabichi Kg 5,000.
2. Wakavu Kg 8.000.
3. Wakukaanga. 18,000.
• CAHULA CHA KUKU.
Chakula cha kuku.
Tunatuma mikoa yote.
• Mawasiliano.
Namba ya simu whtspp +255769 443 448
Email johjahari@gmail.com
View attachment 3305953
View attachment 3305957
View attachment 3305958
View attachment 3305959
Kwani hizo hela zake si ni sawa na mzigo kwani tofauti yake ni nini. Ni kwa nini wewe unataka utumiwe hela ya mtu kabla ya kutuma na wewe iyo hela yako ambayo ni mzigo.Siwezi kukutumia hata dagaa moja bila kulipa pesa yangu yote kwasabu hakuna nfumo huu wabiashara unaotaka kuuleta,kwamba nitumie watu mizigo ningoje waje kunitumia pesa!
Kama umekutana na mtu tapeli ni yule sio kila mtu ni tapeli.
Mbona kama unaongea kwa niamba ya watu wengine?Yeye anaangalia upande wake tu hajali upande wako. Na ukiona hivyo ujue hakuna uaminifu.
Yeye anataka wewe umuamini ila yeye hataki kukuamini. Wakae na samaki wao mimi sirudii tena makosa nilipata hasara kubwa tu kwa ujinga wangu
Acha janja janja mkuuMbona kama unaongea kwa niamba ya watu wengine?
Hii ni biashara kama ya kwako tunalipa kodi pia tuna ajiri watu.
Wapi nimekulazimisha uniamini ndugu yangu,huu ni nfumo wangu naoutumia kufanya biashara,ukiona mfumo wako wa kununua unapisha nawakwangu sio kesi.Kwani hizo hela zake si ni sawa na mzigo kwani tofauti yake ni nini. Ni kwa nini wewe unataka utumiwe hela ya mtu kabla ya kutuma na wewe iyo hela yako ambayo ni mzigo.
Yaani unataka uaminike Ila kuwaamini wenzako hakuna inakuwaje hapo Sasa. Ukitumiwa ukikimbia utasema huwezi kimbia na hizo hela ndogo, haya Sasa wewe tuma Mana na yeye hawezi kimbia.
Kuna mahala wabongo Wana feli sana , subiria na hili wachina waingie mtaanza kulia , yaani mgeni analeta changamoto na kuwaonyesha penye nyufa.
Sawa hapa kwani ni mashindano ya bei bro?Nipo hapa Morogoro mjini, nauza Sangala 1 kg kwa 12,000
Sato 1 kg kwa 13,000
Lini umefanya biashara na mimi nikakufanyia ujanja?Acha janja janja mkuu
Kote nimeishi mkuu...tasi ana ladha yake huwezi mfananisha na wa majibaridi...vile vile ningu naye ana utamu wake..sato ni ✌️👌Kama wewe ni Byesige wa Uganda mwaloni kabisa na Ziwa letu pendwa la Victoria ninakuwa na wasiwasi na hicho unachokizungumzia. Lakini kama ni Byesige wa kuchonga (Mrs) na hasa yule toka pwani ya Bahari ya Hindi, basi itakuwa umeongea ukweli. Ladha ya samaki hutegemea pia na uzoefu wa kuwala hao samaki. Mtu toka Ziwani ukimweleza utamu wa ngisi, nguru, pweza n.k atakushangaa sana. Kadhalika yule atokaye ukanda wa Pwani akiambiwa utamu wa nembe, domodomo, ningu na kamongo atakushangaa mpaka umshangae.
Hakuna samaki watamu kama samaki wa maji baridiYes samaki wa baharini ana taste tofauti .kachangamka zaidi mdomoni
nawapa tahadhari wataibiwa asb kweupe.. Hata mimi nimeajiri na ninalipa kodi lakini siwaibii watejaMbona kama unaongea kwa niamba ya watu wengine?
Hii ni biashara kama ya kwako tunalipa kodi pia tuna ajiri watu.
Kama ninmpenzi sana wa samaki ntabisha .hujalq changu wew...hujala tasi etcHakuna samaki watamu kama samaki wa maji baridi
Ungekua umeagiza hata kilo moja ukaibiwa ndio ungekuja hapa na hizo story.nawapa tahadhari wataibiwa asb kweupe.. Hata mimi nimeajiri na ninalipa kodi lakini siwaibii wateja
Ndugu zangu chukueni tahadhari