Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,454
- 166,963
Unaendelea kukata gogo kwa raha zako mana ile ni starehe tosha mwana!
Bila kujiosha wala nini unachapa mwendo kwa kasi ya kimbunga
Unaendelea kukata gogo kwa raha zako mana ile ni starehe tosha mwana!
Yaani hiyo ni kama ni kama umefumaniwa wakati unaachia mkojo wa uzazi........... HAKUNA KUKATISHA NI KUMALIZIA TUU..................Unajisaidia kwenye choo cha passport size,
mlango wa gunia, katikati ya haja yako nzito,
upepo mkali uje upeperushe gunia, je utaficha sehemu gani ya mwili?
Naona wewe unaleta utani hapa, unajua hivi vitu vipo kweli in real life~Ha ha ha!.Unajisaidia kwenye choo cha passport size,
mlango wa gunia, katikati ya haja yako nzito,
upepo mkali uje upeperushe gunia, je utaficha sehemu gani ya mwili?
Kabla ya shughuli hiyo unaangalia hali ya hewa - watumiaji wa vyoo hivyo ni wazuri wa kutabiri hali ya hewa, hivyo nawe utakuwa mzuri tu kwenye hilo na adha hiyo haitakukuta! Kwanza vilivyojengwa ni kwamba mlango huko kama kwa nyuma yaani ni style ya coil hivyo huwezi kuonekana! Na kwenye uelekeo wa mlango si ehemu ya kukaa watu wala watoto kucheza na mara nyingi ni nyuma ya nyumba!!
Mbele ya tumbo la kuhara hakuna cha hali ya hewa, kwanza ukichelewa tuuu ............ mistali ya liquid inaanza kushuka miguuni..... chujio chupiMbele ya tumbo la kuhara kuna cha hali ya hewa?