Mgiriki MTz JF-Expert Member Joined Dec 27, 2019 Posts 330 Reaction score 272 May 29, 2020 #2 Uzi tayari au
Ncha Kali JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 15,400 Reaction score 29,339 May 29, 2020 #3 Hiyo ‘picha’ tuipate wapi na hujaiweka..!!
J jacana JF-Expert Member Joined May 24, 2020 Posts 445 Reaction score 436 May 29, 2020 #4 Hapa nilikuwa na msongo Wa mawazo lakin nimecheka sana na kusahau shinda zote za dunia hii
Redpanther JF-Expert Member Joined Feb 23, 2019 Posts 3,034 Reaction score 4,270 May 29, 2020 #5 Naipataje hiyo picha sasa ?? Sina asee.! Weka picha Bwashee
Zero Hours JF-Expert Member Joined Apr 1, 2011 Posts 12,942 Reaction score 18,691 May 29, 2020 #6 Ni kosa kumpa Rafik au ndugu yako gar kama unajua hamiliki gar yeye binafsi au hana uwezo wa kununua gar unless unapesa za kununua magar utakavyo. Madereva wasiokuwa wamiliki wa magar ndyo huwa wasumbufu sana barabrani
Ni kosa kumpa Rafik au ndugu yako gar kama unajua hamiliki gar yeye binafsi au hana uwezo wa kununua gar unless unapesa za kununua magar utakavyo. Madereva wasiokuwa wamiliki wa magar ndyo huwa wasumbufu sana barabrani