Pata nguo za Mitumba, Grade A

Sijaingia humu ndan kwa mda mrefu, nahitaji kumpm wiseboy na dumelang ila sijafikia vigezo, msaada plz. DUMELANG NA WISEBOY NINASHIDA NA NYIE, MSAADA WENU NI MUHIMU SANA. NIKIPATA NAMBA ZENU NTASHUKURU SANAAA
 
toeni namba zenu uunganishwe group la biashara ya mtumba
 
alafu mnapo tubadikia mabango yenu hapa mnatakiwa muwe serious sio mna tuambia mambo yanaishia hewan hewan tu mnatuomba no zetu ili mtuonganishe kweny magroup yenu afu tunatoa number zetu hamtuunganishi acheni mambo ya kitoto ..mmeniboa sana..
 
Wabongo nomaaa
Ndo kawaida yao
 
Niunge kwenye group! 0657016438, nahitaji kupata maujuzi
 
0768573441 niunge kwa group soon nataka niianze hiyo biashara
 
alafu mnapo tubadikia mabango yenu hapa mnatakiwa muwe serious sio mna tuambia mambo yanaishia hewan hewan tu mnatuomba no zetu ili mtuonganishe kweny magroup yenu afu tunatoa number zetu hamtuunganishi acheni mambo ya kitoto ..mmeniboa sana..
Imekuwaje Mwinjuma1?
 
habari zenu, naulizia hilo group la whasup limeshaundwa ?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…