Pata mkopo wa 2 million kwa dhamana ya gari tu

Frank jb

JF-Expert Member
Jun 3, 2014
418
120
Natoa mkopo wa 2 million kwa dhamana ya gari tu. Kwa mwenye shida anitafute kupitia 0716 002323. Vigezo na masharti kuzingatiwa!
 
Mi nilidhani unaacha kadi ya gari kumbe unaacha na gari pia!! Sehemu nyingi dhamana mkubwa ni kadi original na uandikashia wa serikali za mitaa lkn kuacha gari mkuu hapo kidogo ni sheeeeeeda!!!!
 
Mi kama unakubali nikuachie kadi nakuandikishiana serikalini nipo tayali ni pm lkn kwakuacha gari hapo pagumu Frank jb
 
Mi kama unakubali nikuachie kadi nakuandikishiana serikalini nipo tayali ni pm lkn kwakuacha gari hapo pagumu Frank jb

Huyu franka anadeal na kuuza magariii ananunua bei rahisi na kulikarabati kisa anauza naona kama anaanza utapeli anataka gari na kadi juu kwa 2 million...
Cc Zanzibar Spices
 
Last edited by a moderator:
Kutoa gari na kadi mkuu si rahisi hiyo hata uende wapi utaonekana mpumbavu tu maana hata mabenki au masaccoss yanachukua kadi tu na wanakupatia mpaka mil 10 kutokana na aina au thamani ya gari
 
Kutoa gari na kadi mkuu si rahisi hiyo hata uende wapi utaonekana mpumbavu tu maana hata mabenki au masaccoss yanachukua kadi tu na wanakupatia mpaka mil 10 kutokana na aina au thamani ya gari
Umeishamaliza kuongea?
 
Kutoa gari na kadi mkuu si rahisi hiyo hata uende wapi utaonekana mpumbavu tu maana hata mabenki au masaccoss yanachukua kadi tu na wanakupatia mpaka mil 10 kutokana na aina au thamani ya gari
Nakushauri weka itv uangalie kwanza taarifa ya habar maana povu linakutoka kwa sababu yang we kama unaona huu uzi haukufai tafadhal kaa kimya, kwanza ningependa nijue wewe n mwanaume ama mwanamke? Nikijua jinsia yako ndio ntajua ntaanzia wap kukujb!
 
Nashukuru sana kwa msamaha wako lkn mi mwenyewe nahitaji huo mkopo wa mil 2 lkn kama utakubali kubaki na kadi ya gari original na kuandikishiana serikali za mitaa ikiwezekana nakujuana kimakazi mkuu nijibu kama inawezekana
 
Wajinga ndio waliwao.....
MJINI MIPANGO.......

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Nakushauri weka itv uangalie kwanza taarifa ya habar maana povu linakutoka kwa sababu yang we kama unaona huu uzi haukufai tafadhal kaa kimya, kwanza ningependa nijue wewe n mwanaume ama mwanamke? Nikijua jinsia yako ndio ntajua ntaanzia wap kukujb!

Kwa maandiko haya inatisha na kuonyesha wazi uhalisia wa tabia yako

Nachelea kusema wewe ni mpiga zumari
 
Ok nimekusamehe

Peleka ujinga kule umemsamehe we Mungu?? Maisha hayaendi hivyo mtoto wa kiume chunga sana. Ati kadi ya gari na gari. Halafu nyie ni vigagu tu mnampa mtu hela halafu mnamloga zote ziishie bar ashindwe kurejesha kwa muda mliokubaliana mchukue gari wapu.uz nyie.
 
Kadi ya gar unaacha maana sasa hiv kumeibuka mtindo mtu anakuachia gar kad anabak nayo halaf anaenda polisi anatoa taarifa kuwa gar lake limeibiwa.
Je akisema kaibiwa vyote..?? Yaani kadi ma gari... by the way 2M naweka gari ya shiling ngapi? Na riba ipoje..? UmekA na gari yangu siku nakurudishia vyako tunaufanyake muda jliokaa na gari tena na kadi yake?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom