Pata mikopo ya haraka, riba nafuu

Riba nafuu maana yake nini? Na utupe maelezo kwamba mkopo ndani ya saa 7 unawezekanaje?.
 
Bwana Liquid ungeweka kila kitu wazi ili kuepuka maswali yangayowezwa kuepukwa, mfano vigezo vya kupata mkopo,kiwango cha riba kwa mkopo au mwezi n.k
Fanya tangazo lako livutie na sio likimbiwe .....
 
Nahitaji 2M vigezo vikoje
1: Uwe Na Wazo La Biashara
2: Mdhamini
3: Dhamana Iliyo Na Thamani Ya Zaidi Ya Mkoko Unaoombwa
4: 25% Ya Riba Per 3 Month "Hatutoi Mikopo Ya Zaidi Ya Miezi 3"
5: 20,000 Application Form
6: Service Charge 5% Ya Mkoko Wako
8: 1% Ya Insurance Kwa Ajili Ya Mkopo Wako
 
WATU WANAOTOA MIKOPO YA AINA HII NI MATAPELI NA WEZI WAKUBWA.WANA-TAKE ADVANTAGE YA UMASKINI WA WALALA HOI NA KUTOJUA KWAO HESABU,KUENDELEA KUWAANGAMIZA.KWA UHALISIA RIBA YA MKOPO HUU NI 31% KWA MIEZI 3, AMBAYO INA MAANA NI RIBA YA 124% KWA MWAKA.WAKATI RIBA YA MKOPO WA BIASHARA KWENYE BANK NYINGI HAIZIDI 24% KWA MWAKA(AMBAYO NI 6%)KWA MIEZI 3.HUU NI WIZI WA MCHANA KWEUPE WA KUWAIBIA MASKINI ILI ATAKAPOSHINDWA KULIPA UJE UMNYANG'ANYE HATA KILE KIDOGO ALICHOKUWA NACHO AKAKIWEKA KAMA DHAMANA.MUNGU ATAWAHUKUMU KWA WIZI HUU....BANKI KUU PLEASE,TUONDOLEENI WIZI HUU WA KAMPUNI ZINAZOWAIBIA MASKINI MCHANA KWEUPEE....
 
Ni kweli kabisa

Uyu tapeli kabisa..31% kwa miezi mitatu..kakopeshane na rafiki zako..watz wa sasa wanajitambua sana...bank kwa mwaka wanachukua si zaid ya 24% na kwa sasa BoT imepunguza na Bank watapunguza...aladu wewe unataka zaidi ya 120% kwa mwaka..Ninyi ndo mtafanya Hii biashara ije kufungiwa siku moja..wacha JPM adake ili desa..uone maamuzi yake...
 
5: 20,000 Application Form
6: Service Charge 5% Ya Mkoko Wako
8: 1% Ya Insurance Kwa Ajili Ya Mkopo Wako

Kwa hiyo kama nikichukua 2m;-
1. Nakupa sh 20,000 ya application
2. Nakupa sh 100,000 as service charge
3. Nakupa sh 20,000 as insurance
4. Nakupa sh 500,000 as interest kwa miezi 3

In short kwa mkopo wa sh 2,000,000 una faida ya sh 640,000/-.

Biashara nzuri sana hii.
 
Within 3 months you make this profit. What if you have 100 customers?
 
1: Uwe Na Wazo La Biashara
2: Mdhamini
3: Dhamana Iliyo Na Thamani Ya Zaidi Ya Mkoko Unaoombwa
4: 25% Ya Riba Per 3 Month "Hatutoi Mikopo Ya Zaidi Ya Miezi 3"
5: 20,000 Application Form
6: Service Charge 5% Ya Mkoko Wako
8: 1% Ya Insurance Kwa Ajili Ya Mkopo Wako
Sasa hapo umesema unawasaidia wa kipato cha chini cha wapi maana hapo bora uende Bank ukapate 21% na kwa muda mrefu
 
Back
Top Bottom