Pata michoro ya Interior design na Architectural kwa Nyumba/Jengo lako

Ujenzi nafuu 01

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
314
26
Kwa michoro ya interior design utapata vifuatavyo;
1. General Floor Plans
2. Furniture layout
3. Floor Finishes
4. Reflected Ceiling Plan
5. Section-Elevations
6. 3D Perspectives (Images)
7. Ventilation, Lighting Systems
8. Schedule of Accessories, Materials, Finishes.
Na kwa ramani za nyumba nazo utadizainiwa kadri unavyotaka, kwa michoro yote tisa.
Note: Ninadizaini style zote mfano; Contemporary, Art Deco, Neo-Classical, Roman, Arabic, Hindi, Chinese, Egyptian, African e.t.c
*Kwa mawasiliano zaidi; 0765141027 au 0713805750. Karibuni wadau.
Sample ya michoro;
 
Attachments

 • MASTAROOM.jpg
  MASTAROOM.jpg
  56.4 KB · Views: 4,992
 • baek5.jpg
  baek5.jpg
  45.1 KB · Views: 4,740
 • masta 3.jpg
  masta 3.jpg
  51.4 KB · Views: 4,657
 • hall 1.jpg
  hall 1.jpg
  170.9 KB · Views: 4,801
Kwa michoro ya interior design utapata vifuatavyo;
1. General Floor Plans
2. Furniture layout
3. Floor Finishes
4. Reflected Ceiling Plan
5. Section-Elevations
6. 3D Perspectives (Images)
7. Ventilation, Lighting Systems
8. Schedule of Accessories, Materials, Finishes.
Na kwa ramani za nyumba nazo utadizainiwa kadri unavyotaka, kwa michoro yote tisa.
Note: Ninadizaini style zote mfano; Contemporary, Art Deco, Neo-Classical, Roman, Arabic, Hindi, Chinese, Egyptian, African e.t.c
*Kwa mawasiliano zaidi; 0765141027 au 0713805750. Karibuni wadau.
Sample ya michoro;
Hongera kazi nzuri mkuu subiri wadau.
 
Hebu ni PM rates zako. Una access ya ku certify michoro yako?

ts ok..mawasiliano yangu ni 0713805750 na 0765141027, Hyo tgo ni pamoja na watsap. Mkuu nna profile nimeandaa ya kaz zangu with copyright, npo tayar tufanye kaz mkuu, Tuwasiliane tu.
 
Design ni kwa jengo la aina yeyote ile. Hata suala la kupata muhuri kwa ajili ya kupeleka manispaa tutasaidiana ili upate kibali chako kwa wakati. Kwahiyo hata wale wenye ramani tayar lakn haujui ufanye nn nitafute ntaku 'direct' ufanikishe zoezi hilo. KARIBUNI
 
karibuni wadau, upate raman ya nje na ndan ya jengo lako! kwa ubunifu wa style unayoipenda.
 
Back
Top Bottom