Pata miche ya miembe

Pata miche ya miembe

handsome2

Senior Member
Joined
Mar 22, 2016
Posts
106
Reaction score
60
Pata miche bora kabisa ya miembe kwa dar es salaam,utafurahia maembe haya kwani yanazaa kwa kiwango cha juu kabisa,epuka kununua miche kwa wauzaji wa mtaani,bei ya mche mmoja ni 10,000 za kitanzania.Pia utapata fursa ya kutembelea bustani na kuona miche ambayo imeshazaa maembe ujionee jinsi unavyopendeza.Aliye na uhitaji tafadhali njoo PM.
 
Attachments

  • IMG_20171014_091208_035[1].jpg
    IMG_20171014_091208_035[1].jpg
    272.4 KB · Views: 145
Halafu inawezekana kokwa ya tunda linalotoka kwenye mti huo nikalipanda likazaa mapema kama mche huo lilipotokea? Asante
 
Mche ni elfu kumi au elfu moja mbona haueleweki sasa.
 
I dont know jinsi ya kuingia pm unaweza ukanicheki mimi!
ukitaka kuingia pm, njia rahisi bonyeza picha au jina la huyo mtu, itafunguka na utaona sehemu imeandikwa message, ukifanikiwa leta mrejesho
 
Pata miche bora kabisa ya miembe kwa dar es salaam,utafurahia maembe haya kwani yanazaa kwa kiwango cha juu kabisa,epuka kununua miche kwa wauzaji wa mtaani,bei ya mche mmoja ni 10,000 za kitanzania.Pia utapata fursa ya kutembelea bustani na kuona miche ambayo imeshazaa maembe ujionee jinsi unavyopendeza.Aliye na uhitaji tafadhali njoo PM.
Punguza bei uwasaidie wenzako. Au hata wewe huna yakutosha?
 
Biashara ya maembe nzuri sanaaaa,sio cost full sanaa but iko na profit nzuri
 
elf 10 mzumbe wanauza elf 3 kama nanunua miche 50/100 ni bora niende Morogoro alaf kwa Dar mbele ya kongowe opposite na kiwanda cha bakheresa wanauza miche ya miti yote price yake itakua chini sana
 
elf 10 mzumbe wanauza elf 3 kama nanunua miche 50/100 ni bora niende Morogoro alaf kwa Dar mbele ya kongowe opposite na kiwanda cha bakheresa wanauza miche ya miti yote price yake itakua chini sana
chaguo ni lako mkuu,kikubwa ujue ubora wa hiyo miti unayonunua,mwanzoni nilinunua miembe huko usemapo tangu mwaka 2011 mpaka leo haijawahi kuzaa,lakini mbegu hii nimepanda 2015 ndio unaona maembe yananing'inia hapo,wakati mwingine vya rahisi sana impact yake sio nzuri,hujawahi kuona watu wanakusanya makokwa ya maembe pale temeke sterio,wengine wanakusanya mbegu za tikiti JE UMEWAHI KUJIULIZA WANAENDA KUZIFANYIA NINI??
 
Back
Top Bottom