Mkuu...
Tangazo la kampun mbona unalifanya jepesi kama mtu alie ichoka Tecno yake anataka iuza?
Jaribu kufunguka ueleweke... so hapa wataka mtu aje anze kukuuliza. Grade 1 mwauzaje, 2 mwauzaje
Mwingne aulize... Je mna magari yenu ya kusafirishia au aje na lake,
mwingne aulize, kiwango chenu cha mwisho kupokea order.. kidogo zaid n kipi, na uwezo wenu wa ku supply n upi.. mwingine aulize hik mwingne kile..
Jaribu kuweka tangazo litakalo mvutia mtu, ukiliweka kipuuz, watakupuuzia pia