jose mjasiriamali
JF-Expert Member
- Sep 17, 2014
- 1,759
- 1,576
Nina mbuzi wakubwa wa kienyeji, kwa ambaye anahitaji tuwasiliane pm, wapo wa supu na wa mafuta. kama una order ya mbuzi wengi au mmoja mmoja pia tuwasiliane. mbuzi nilionao wanatoka mkoa wa Dodoma.bei ni kuanzia 80k inategemeana na ukubwa, wengine wanazidi hiyo bei. Huwa nakuwepo mnada wa Pugu kila wiki nikitoka huku Dodoma.
Tatizo lililonifanya nifikiri kuacha kuuza mnadani pugu ni kwamba wanunuaji pale ni madalali ambao wao wanataka wachukue mzigo mkubwa kwa bei ndogo.
picha zitafuata sina camera hapa sasa ivi.
Tatizo lililonifanya nifikiri kuacha kuuza mnadani pugu ni kwamba wanunuaji pale ni madalali ambao wao wanataka wachukue mzigo mkubwa kwa bei ndogo.
picha zitafuata sina camera hapa sasa ivi.