Pata mafunzo ya satelite dish installation, CCTV Camera installation!

MWANAJAMIA

Member
Joined
Oct 21, 2016
Posts
47
Reaction score
45
Tunatoa mafunzo ya namna ya kufanya installation ya dish za aina zote na pia kufanya installation ya CCTV Camera.
mafunzo ni ya siku tano tano yaani
satelite dish installatuon siku tano
CCTV CAMERA Installation siku tano
jumla ni siku kumi.

Mafunzo haya yataanza rasmi tarehe 15 mwezi huu
Gharama za uchangiaji kwa mafunzo ni tsh 50000
ila kwa watu 20 wa mwanzo watapata punguzo na huvyo watalipia tsh 30000

Utajifunza kufunga dish za aina zote zunazo tumia KU na C BAND

af181651dbfdbc57086bd43aba28923b.jpg

d21ddf106db52cac441ff02bccc2220e.jpg

30e24f5fe60105c13d66057f0a0da581.jpg

ee82f7ca0840ecc641647ffcd5ca07fd.jpg

28ad0ad4a741a7641328363e1949168b.jpg

Eneo ambako mafunzo haya yatafanyika ni Dar es salaam Kigamboni.
kwa walo tayari wanaweza kuwasiliana nasi Kwa ajili y maelezo zaidi kupitia
0622001223
0659505081

baadhi ya vijana ambao wamepitia kwetu kwa sasa wanafanya vizuri sana mtaani. Na hizi ni baadhi ya picha zao wakiwa kwenye site.
3ecb71a4f013ec4e421f430038c84a6e.jpg

f6c4abec40b05821059e85022d0df625.jpg

3c5393be5276c4c24c1da663ce341c19.jpg

0831276de4ed8430d74d04a1888dbf2d.jpg

KARIBUNI SANA
 
bei pia sio mbaya hongera kijana
 
Tunashukuru tumemaliza salama baada ya wiki 2 tunaanza tena mafunzo kwa wanaohitaji tuwasiliane mapema na cd zinauzwa shilingi 10000 kwa mawasiliano zaidi piga namba 0622001223
 
Cd za nn hizo kaka na pia hayo mafunzo yanafanyika mda gan na ni kila siku au
 
kaka naitaka hiyo fursa,mda gani hufanyika mafunzo.Ili nipange ratba zangu
 
Tunashukuru tumemaliza salama baada ya wiki 2 tunaanza tena mafunzo kwa wanaohitaji tuwasiliane mapema na cd zinauzwa shilingi 10000 kwa mawasiliano zaidi piga namba 0622001223
Sisi tuliombali mfano morogoro mnatusaidiaje maana tunashida na hiyo skill
 
Tarehe 16 mwezi huu tunaanza tena mafunzo ila this tym tutapokea wanafunzi wachache ila kutakua na mgawanyiko kuna watakao soma kwa pamoja muda utakua kuanzia saa 4 asubuhi na atakaejifunza kwa muda wake. Watakao jifunza kwa pamoja ada ni 30000/= kwa atakaejifunza pekee yake ada ni 50000/= kwa darasa la pamoja nafasi ni 20 tu kwa anaehitaji tuwasiliane kupitia namba 0622001223
 
Ndugu Twaleeb juzi nimekupigia kama mara 7 hivi tena kwa kupose kwa dk kama 15 hivi ila la kushangaza simu naambiwa iko bize mpaka nimekuona mtu wa ajabu, umeseti simu kwa kusudi?
 
Samahani kwa hilo liliojitokeza ila juzi ckuwa mjini nilikua mkoani ila cmu yng inapatikana piga ss ivi utanipata
 
Back
Top Bottom