Pata kitabu cha siri za kutajirika

Siri ya utajiri ni kufanya kazi.ukipata hela honga.
 
aliyeandika kwani naye ni tajiri? acheni biashara za kihuni
 
Kakimbia uzi wake jamaa. Kawa nae ndugu msomaji tu
 
Kama we umetajirika hizo elfu tatu za nini? Kitoe tu bure hicho kitabu
 
Author wa hicho kitabu ni nani?
Si ajabu ukakuta ONTARIO ndio author kaja kivingine

Ukisikia unaitwa kwenye fursa jua wewe ndio fursa....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…