Fursa Pesa
JF-Expert Member
- May 30, 2012
- 4,633
- 3,534
Kitabu kizuri sana hicho,lakini hakina siri za utajiri,kina siri za Ujasiri _Mali.
Wewe mwenye hicho kitabu una utajiri wa kiasi gani?Pata kitabu cha siri za kujajirika kwa shilingi 3000/= kwa soft copy ( nakutumia watsapp) na 6000 hard copy mawasilino 0744951631 kwa maelezo soma hapachini kwenye hii picha View attachment 906813
Sanaaa,maana vizinga vinanipa akili ya kuwazaKumbe Unapata Uhondo Kwa Vizinga Kipenzi


hiyo avatar yako unamzomea nani hapo? mtoa mada??
Wewe mwenye hicho kitabu una utajiri wa kiasi gani?
By the way maisha hayana specific formular.
sikumbuki ulijibu vp ila nilikuona kuleHaha umeona kule kwenye maana ya Avatar
Hahahahahahahahaaaa, usikiuze mkuu, kisome utajirike.Pata kitabu cha siri za kujajirika kwa shilingi 3000/= kwa soft copy ( nakutumia watsapp) na 6000 hard copy mawasilino 0744951631 kwa maelezo soma hapachini kwenye hii picha View attachment 906813
Mm siwakubali kishenzi hawa wanaojifanya motivational speakers natamani ghafla tu asiwepo hata mmoja!Duh! Jamaa kazodolewa mpaka huruma yani, ameogopa hata kurudi.. Acheni roho mbaya mazeee
Hahaha, ila commentors walichomfanyia jamaa ni unyama kabisaMm siwakubali kishenzi hawa wanaojifanya motivational speakers natamani ghafla tu asiwepo hata mmoja!
Ayo maswal jiulize mwenyew kwanza na uyafanyie kaz,Pata kitabu cha siri za kujajirika kwa shilingi 3000/= kwa soft copy ( nakutumia watsapp) na 6000 hard copy mawasilino 0744951631 kwa maelezo soma hapachini kwenye hii picha View attachment 906813
Kama siri za kutajirika unazo kwa nini uuze hicho kitabu?
Tumia hizo siri upate pesa.

!?Kwa hyo jamaa yupo usingizini si ndio.Mwambie jirani yako hapo akupige kofi la utosi uzinduke