Pata kifaa cha kumenyea mananasi kwa bei nafuu:

Pata kifaa cha kumenyea mananasi kwa bei nafuu:

Hivi kwa week nakula mananasi mangapi pale home?
Kiuchumi bora tu kunoa kisu na kumenya. Afu naona hicho kifaa chako kinaacha utamu kwenye maganda. Tuletee cha kumenyea fenesi
 
Tuletee cha kumenyea fenesi[/QUOTE]
Hivi kwa week nakula mananasi mangapi pale home?
Kiuchumi bora tu kunoa kisu na kumenya. Tuletee cha kumenyea fenesi

Sawa Sukari Yenu nitakutafutia cha fenesi! Naona watu wengi wanakihitaji kifaa hiki.
Hiki kifaa ni kwa ajili ya:
- Matumizi ya nyumbani (yaani wale ambao hawapendi bughudha ya kumenya na uwezekano wa kujikataa kidole na kisu)
- Matumizi ya biashara (yaani wale ambao wanauza vipande vya mananasi kwa wingi) Hii inawarahisishia kazi na kuokoa muda pia. Maana wenzetu wanasema 'Time is money'!
 
Back
Top Bottom