Pata kifaa cha kumenyea mananasi kwa bei nafuu:

Mpenda Uzalendo

Senior Member
Dec 18, 2015
112
58
$_1 (1).JPG
Jipatie kifaa ambacho kitakuwezesha kumenya mananasi kwa urahisi bila ya kupoteza tunda la ndani.
Wanunuzi jumla na rejareja mnakaribishwa.
Bei ya rejareja 50,000/- kila kimoja
Bei ya jumla 45,000/-
 
Da! hiyo machine hsinifai mim maskin kwa kuwa kias kikubwa cha nanas kinabak kwenye ganda na pia hiyo kitu ya katikati huwa nakula tu
 
Back
Top Bottom