Pata kifaa cha kumenyea mananasi kwa bei nafuu:

Pata kifaa cha kumenyea mananasi kwa bei nafuu:

HALAFU WA KWANZA KURESPOND UTADHAN ROBOTI
kwa hiyo kumbe siku hizi ukiwa wa kwanza kurespond unaitwa robot ???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watanzania bana yaani kidude cha Tsh 5000 unataka pata faida mara 10
kwanini ufanye hivyo?
Kweli wasioelewa wanaibiwa sana
 
kwa hiyo kumbe siku hizi ukiwa wa kwanza kurespond unaitwa robot ???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

ahahahahahah we ni zaidi ya roboti aloooo... utadhani livescore.com hahahahaahah
 
Da! hiyo machine hsinifai mim maskin kwa kuwa kias kikubwa cha nanas kinabak kwenye ganda na pia hiyo kitu ya katikati huwa nakula tu

Hata mini naona inaacha utamu wote ndani. na kwetu kutupa chakula jalalani ni zambi.🙂
 
Labda uweke picha ulizomenya wewe hilo nanasi maaana hizo picha zipo kibiashara zaidi
 
Hata mini naona inaacha utamu wote ndani. na kwetu kutupa chakula jalalani ni zambi.🙂

Utamu utakuwepo kwenye hizo slices pia. Unaweza hata ukakatakata hilo la ndani ukaviuza vipande vikiwa na shape tofauti.
 
Mananasi yapo makubwa ma madogo hicho lzm kitazingua tu.
 
Back
Top Bottom