Snowden E
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 1,703
- 3,011
- Thread starter
- #21
Kuna jezi ambazo kwa lugha siyo fasaha tunaziita jezi famba, yani ni malonya huwa zinauzwa Tsh 7000.Una maana Gani unaposema ni original kiongozi?
Ila hizi nazouza mimi ni quality nzuri ukivaa unainjoy.
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app