Pata internet free of charge wifi

Hii thread ingekuwa help kama ungeituma miaka ya 1997 lakini sio miaka hii ya 2016, kumbuka kuwa hiyo Mac2wepkey ina decrypt encryption ya WEP wireless tu na sio WPA au WPA2 ambayo ndo wireless encryption ya most recent wireless devices, kumbuka algorithm ya WEP na WPA ni vitu viwili tofauti, nitashangaa sana kama kuna mtu ataleta positive feedback hapa kuhusu hii software
 
Mkuu wala huongopi, na nashangaa hata umeanzaje kujaribu maana hapo ni kama mafuta na maji maana wireless devices nyingi sasa hivi zinatumia WPA au WPA2 security encryption, na hii software inadecryt WEP security encryption, kumbuka algorithm ya WEP na WPA ni vitu viwili tofauti kabisa
 
Mi nasubir maajabu ya 10 hapa ya dunia.. Hili jambo kwa sasa haliwezekan kwa njia hyo mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…